Top 10 African Countries With the Best Roads

Pongezi sisi tunajenga flyover

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hapa pamoja na kuangalia mtandao wa barabara pia nadhani wanaangalia na ubora wake,Rwanda jamani wana barabara bora na imara kwa nchi nzima mfano wa barabara hii kwa ubora hapa kwetu ni kama kile kipande cha kutoka Ngorongoro Olduaare gate hadi Mto wa Mbu make pale hawakuiba sasa ndo kiwango cha barabara nchi nzima Rwanda.Hapa kwetu barabara miaka 5 imeanza mashimo

Hii barabara ya Morogoro ilapaswa mtu awe gerezan

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Haaaa... unanikumbusha mwenge tegeta..
Halafu hapa pamoja na kuangalia mtandao wa barabara pia nadhani wanaangalia na ubora wake,Rwanda jamani wana barabara bora na imara kwa nchi nzima mfano wa barabara hii kwa ubora hapa kwetu ni kama kile kipande cha kutoka Ngorongoro Olduaare gate hadi Mto wa Mbu make pale hawakuiba sasa ndo kiwango cha barabara nchi nzima Rwanda.Hapa kwetu barabara miaka 5 imeanza mashimo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tupo pazulii
Wia on ze laiti tlaki

Maendeleo hayana chama
 
Kwahiyo unawaambiaje wanaosema Rwanda inastahili kuwa na barabara nzuri kwa sababu ina eneo dogo?

Wako sahihi kwa kuwa ni rahisi kuleta maendeleo katika eneo dogo.

Nilichokisema hapo mwanzo ni wingi wa rasilimali kutohusiana na ukubwa wa eneo. Vitu kama madini huwa vinajikusana eneo moja kwa hiyo unaweza ukawa na na nchi kubwa lakini haina mwamba wa madini kabisa ndiyo maana nikatumia mfano wa Kuwait (mafuta).
 
Tanzania has the roads with craters that can swallow the whole buffalo and some others have the surfaces that resemble the lunar surface riddled with the bumps plus the rumble strips that make the driving a nightmare reminiscent of the one driving through a cassava plantation. I think it can hold the tail in that list.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom