Wakuu bilashaka mmeamka salama. Naomba ushauri wenu katika hili. Kimsingi nataka nifungue kigarage hapa mtaani kwetu na nahitaji vifaa vya kufanyia kazi. Lakini binafus sijajua vifaa hasa aina za spana nnazotakiwa kununua mojamoja (hazimo kwenye tool box) na ni bei gani.
Nawasilisha, ahsante.
Nawasilisha, ahsante.