Too late akina dada, kumnyima utamu anayehakikisha kukuoa kisa walikutumia wakakuacha

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
3,379
8,235
Hii habari ya kumnyima papuchi mtu ambaye amekuhakikishia kukuoa, eti tu kwasababu wengi waliwahi kutumia mbinu hiyo kisha wakamega na kusepa, itawakimbiza wachumba wengi. Mtaishia kuvaa sare kwenye harusi za wenzenu.

As long as ulianza kwa kugawa hovyo, basi mpe hata huyu ambaye kaja sasa. Huwenda ana nia njema ya kukuondolea nuksi ya kuendelea kuwa jamvi la wageni. Achana na mtindo wa kuanza kutii maelekezo ya wazazi at your late 20s, kwasababu tu unataka kuolewa. It's too late. Nani atarudi kwako tena na uzee wako huo? Ndiyo. At your late 20s, wewe ni mzee!

Wakati wewe na uzee wako unabania mtoto wa miaka 19 anagawa bila hiana, kwa kihepe (chips) tu.

Shauri zenu
 
Cha ajabu lakini kweli ni kwamba wanawake wengi wana ndoto (matazamio) ya kuja kuolewa na hiyo kwao huwajengea heshima kubwa..ila mfumo wao wa maisha wanayoishi ni vigumu kupata hzo ndoa... Umri unazidi kwenda wanaanza kutafuta mchawi wakati mchawi wao ni wao wenyewe

Naam mkuu. There u are
 
Hahahaaaaaaaaaa

Waache waamue na miili ni yao na maisha ni yao.
Maisha ni yao lakini haya malalamiko yao ya kutoolewa wanataka yatafutiwe suluhisho na wote ...sasa kila kitu kinaanzia kwenye msingi....km hana misingi bora ya maisha bas hiyo ndoa aendelee kuiskia kwa wengine
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Maisha ni yao lakini haya malalamiko yao ya kutoolewa wanataka yatafutiwe suluhisho na wote ...sasa kila kitu kinaanzia kwenye msingi....km hana misingi bora ya maisha bas hiyo ndoa aendelee kuiskia kwa wengine

Ukimkosa mmoja basi kuna wengine, labda haujapangiwa. Ila msichukulie papwuchi ndio itawaletea furaha katika ndoa. Kuna mengi zaidi, mahaba unaweza mfunza mtu, ila kuna mengine mmmmmh usipochunguza unajikuta unaingia kwenye kaa la moto hata kama pupu tamu inakupeleka hadi cloud9.

Msali mpate wake wema.
 
Word
 
Back
Top Bottom