Kilongwe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2008
- 423
- 116
jamani nimesoma Ipp vle kama sikosei kuwa kundi la G Unit litakuwa ndani ya Bongo je hizi habari ni kweli au ndio mambo fulani,kama ni kweli Mzee Tony Yayo atakuwa ndani ya nyumba?? kwani kuna jamaa wanasema kuwa The Game atakuwa kenya May 6.jamani muliopo huko tujulisheni haya.Na pia nimesikia kuwa bwa mdogo Yayo anatarajia kufanya shooting na masela wa segerea..Zimekaa kipichapicha..