Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 66
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,waziri mkuu wa zamani wa UK Tony Blair amewekwa kitimoto cha hatari juu ya ishu ya Iraq halafu ngoma ipo live world wide.. acha mazee jamaa anatisha when it comes to kijitetea japokuwa sijui mwisho wake utakuaje, kama una access na BBC ama Aljazeera just tune in uone mambo.