tongozo za jukwaa hili ni international certified bwana loh

hivi kuna watu bado wanatongoza nilikuwa sijui mimi nilishaachaga, maana siku hizi mwanamke ukimtongoza atakuzungusha dawa yake ni kumuonyesha unamjali atajileta mwenyewe
 
:nerd::nerd::nerd::nerd::nerd: HII INAONDOA MIWASHO YA KUAIBISHAAAA:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:

haaaaa kumbe upo ? tafadhali unahitajika jukwaa la wazee limepoa sana.
 
watu wanapagawa na picha tuu hapo
sijui wakikuona live itakuwaje
waache wajigonge wakati wewe umetulia tuu una mtu wako wa karibu
mtu anadai ana gari ila lipo bandarini japan eti mkuu ahahaaaa
 
teh teh teh teh teh kama mod hataki utoe mazingumzo binafsi ya mtu, basi wewe hebu toa majibu yako ulivyokuwa ukiwajibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom