Tomtom 510 world


leipzig

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
2,655
Likes
730
Points
280
leipzig

leipzig

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
2,655 730 280
Natumia Nav Tomtom 510 world hapa Ulaya, nategemea kurudi Tanzania kwa muda,je nitaweza kuitumia hapo Tanzania na kuniongoza vyema?
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,692
Likes
9,710
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,692 9,710 280
kama sijakosea tomtom ndio wanawapa map data apple maps, hivyo uliza watu wa iphone experience yao hapa Tanzania.

kama una smartphone yoyote ya kisasa zipo maps za here we go nazitumia huku ni bure pia ni offline hata maeneo yasiyo na mtandao zinatumika.
 

Forum statistics

Threads 1,274,224
Members 490,637
Posts 30,505,510