Excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 19,739
- 10,067
Habari zenu wana mmu!
Naomba kujulishwa aina hii ya wanawake wenye tabia za kiume, inakuwaje mpaka wanakuwa na hizi tabia zinazofanana na za kiume?
Wao katika maongezi, mavazi, mitembeo yao, stori zao za kila siku na hata kampani zao kuu hasa ni za kiume kwa sana!!
Je sababu kuu huwa ni ipi mpaka wawe hivi?
Je, kule kunako 6*6 wao wanabehave vipi?
Naomba niwafahamu hasa hawa wanawake-wanaume kiundani zaidi!