TOLLYWOOD!? ..aargh! DISGUSTING! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TOLLYWOOD!? ..aargh! DISGUSTING!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amoeba, Oct 25, 2009.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Haya majina mimi yananiumiza sana moyo, Tollywood, kwa sababu tu kuna Hollywood na Bollywood....nk. mimi naona Hollywood ina maana kuliko Tollywood! mara timu ya mpira mkoani rukwa inaitwa Manchester U! utumwa mwingine unasababishwa na mafikirio mafupi
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kuiga nikujifunza pia waache waige iko siku wataanza kubadilika...
   
 3. M

  Magezi JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  tatizo wewe umekariri hollywood........na akili yako haitaki kubadilika na ku-sense tollywood.....nani mtumwa???
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  What does the word X-ollywood (X being a country initial) has got to do with Film Industry?

  Anyone who knows please?

  Otherwise, to me BongoMovies is much more sexy than Tollywood!
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Oct 26, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,913
  Trophy Points: 280
  Kuiga kubaya kwenye hili tu? mbona naona kila kitu nchini mwetu tunaiga, kuanzia lugha, mavazi, tamaduni n.k vyote vilianza taratibu na sasa ni sehemu ya jamii.

  Hivyo wakati unawalaumu hawa, naomba uthibitishe hakuna kitu unachoiga kutoka nje ya nchi
   
 6. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2017
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4,586
  Likes Received: 2,695
  Trophy Points: 280
  hongera mlezi wa TOLLYWOOD ndugu BASHIZZO
   
Loading...