ACP KINGAI ni juha wa kiwango cha kutisha sana haoni jinsi anavyoivua nguo serikali na jeshi la Polisi?
unachekesha tena unachekesha huku unalia ushahidi ulionyooka hivyo unamvua nguo mbowe yaaani hapo alipo yuko uchi maovu yake yako hadharani gaidi mkubwa yule
 
Aisee nimegundua leo kumtia hatiani mtu asiye na hatia ni kazi ngumu kweli kweli, yaani kuifanya mahakama iamini pasi na shaka utakonda siku si zako.

vilevile:-
Mahakamani mpasikie hivyo hivyo, yaani ukipanda kizimbani tu na kama unasema urongo body language yako inaonyesha kabisa.
 
Mawakili wa utetezi kesi ya mbowe wanatafuta credit kwa MAJORITY'S badala ya kutafuta credit kwa JAJI ambae ndio mwamuzi wa kesi yenyewe.

Hivyo hvyo wafuasi wa upande wa utetezi wanashupalia ushabiki ambao hauna mantiki kwenye kesi wanaacha maswala ya msingi kwenye kesi.

Nimeona mengi mno kwenye kesi ya sabaya na hii ya mbowe watu wanajikitika kwenye maswali na maelezo ambayo sio msingi wa kesi hvyo hayana maana.

Nipo hapa nafatilia taratibu.
kibatala siyo wakili ni mchumia tumbo tu hana hoja za msingi anahangaika tu hajui anachokitetea
 
kama hao jamaa zake na mbowe walivyokuwa wamelishwa maneno ya kuja kudanganya mahakama leo ndiyo wanaumbuka
 
Yaani yeye Mbowe pekee yake na walinzi wake tu wapange kufanya vitendo vya ugaidi maeneo mbali mbali nchini bila viongozi waandamizi wa CHADEMA kujua? Yaani asijue Katibu mkuu, wasijue Manaibu makatibu wakuu,wasijue viongozi wa BAWACHA,BAZECHA wala BAVICHA?

Achilia mbali la kumdhuru Sabaya ambaye mtasema alikua anaingilia maslahi yake Hai, Sasa mambo ya kuchoma vituo vya mafuta Arusha,Mbeya na Iringa yanamhusu nini Mbowe pekee yake?

Kuna mambo mengine ni vichekesho sana hata mtoto wa kindergarten hawezi kukuelewa. Yanatia aibu aibuu hadi hata majaji wanaona ni kama tunapoteza muda fo unknown.

Hebu tuachane na hizi mambo tunaliaibisha taifa.
Nawaza alafu ukubwa wa tukio ulivyo anapanga yeye na makomamdo hao watatu tu ndo wakufanya fujo, ndo wa kumdhuru sabaya, afu ndo wazunguke nchi nzima kuvuruga amani dah! Ugaidi wa tz raha sana maana km mwamba Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga!!! Naona kwa Mbowe naye itawezekana jamani Mungu asimame tu
 
ukisikiliza maelezo kwenye hiyo kesi inasemwa walikuwa wakiendelea kukusanya ushahidi dhidi yake na walipokamilisha ndipi walipomkamata..
Ukiacha hilo la ushahidi, vilevile jiwe aliona soo kumkamata kipindi cha uchaguzi maana zingepigwa kelele dunia nzima
 
Mawakili wa utetezi kesi ya mbowe wanatafuta credit kwa MAJORITY'S badala ya kutafuta credit kwa JAJI ambae ndio mwamuzi wa kesi yenyewe.

Hivyo hvyo wafuasi wa upande wa utetezi wanashupalia ushabiki ambao hauna mantiki kwenye kesi wanaacha maswala ya msingi kwenye kesi.

Nimeona mengi mno kwenye kesi ya sabaya na hii ya mbowe watu wanajikitika kwenye maswali na maelezo ambayo sio msingi wa kesi hvyo hayana maana.

Nipo hapa nafatilia taratibu.
Hii kesi itafutwa soon.

Mzee Lowassa hawezi kumuacha Freeman Mbowe katika nyakati hizi ngumu!
 
kibatala siyo wakili ni mchumia tumbo tu hana hoja za msingi anahangaika tu hajui anachokitetea
Kwa taarifa yako:

*Magu kabla hajaua upinzani alidanja yeye

*Chakubanga ni mbunge wa viti maalumu

*Kakurwa ni mbunge wa viti maalumu
*Musiba analima viazi tarime

*Chala boy saivi anakunywa ulanzi

*Konda boy amekimbilia kusikojulikana

*Ole sasa yuko selo ameshalala baada ya kazi nzito za mchana za kuzibua mitato ya magereza
 
Wazee wa "PGO" leo ni aibu kwao, maelezo ya komando yapo straight, no chenga chenga, wakishuka na watu wa mawasiliano na transactions itakuwa balaa zaidi! Kumuepusha na aibu hii Mkiti ni vyema hii kesi sasa ifanyike kwa usiri, kama zile za ubakaji wa watoto..
Siasa za Ccm zimewafanya kuwa vipofu
 
kusema kweli katika kesi tarehe ya leo 26-10-2021 .
kesi imekuja na kufanan na kitabu cha kusadikika
IMG_1794.jpg

hiki kitabu kama kiliona mbali ambaye mtunzi ni Shaaban robert.

kesi hii naona inaibua vitu vingi !.vengine unaweza kuchezea ban na moderater bure
 
Mbowe kishakaangwa na watu wake ambao walipokuwa ndani yeye akiwa nje aliwatelekeza kumbe walishaga toa ushahidi mzuri tu juu yake sasa mambo hazarani maovu ya mbowe yanajulikana sasa waliokuwa wanamuona kama malaika hakosei waanze kufumba midomo yao wa kwanza erythrocyte
 
unachekesha tena unachekesha huku unalia ushahidi ulionyooka hivyo unamvua nguo mbowe yaaani hapo alipo yuko uchi maovu yake yako hadharani gaidi mkubwa yule
Tatizo Mkuu huo ushaidi umetoka kwa MTU ambaye ameshawahi kuwa na matatizo ya afya ya akili!! Credibility ya huo ushahidi umepungua sana!!!
 
Watu Wana roho ngumu sheitwan mwanafunzi,hivi hii kesi Ni mtihani kwa heshima za watu wengi mno.
Unadai mtu alikuwa anaenda kukata miti toka Moto Hadi iringa wakati hakuna kielelezo hata Cha kumkuta na kisu! hii Ni tamthilia au kesi?
 
Mbowe kishakaangwa na watu wake ambao walipokuwa ndani yeye akiwa nje aliwatelekeza kumbe walishaga toa ushahidi mzuri tu juu yake sasa mambo hazarani maovu ya mbowe yanajulikana sasa waliokuwa wanamuona kama malaika hakosei waanze kufumba midomo yao wa kwanza erythrocyte
Hizo hadithi za kukata miti bila shoka?
 
Utimamu wa akili kwa shahidi hauna Mana kwa maelezo aliyotoa sababu aliachishwa kazi baada ya kuonekana ana matatizo ya akili pia alipokuwa sawa ndo akapata Hilo deal la mbowe hvyo hata cheti Cha uthibitisho kipatikane au kikosekane kwenye hayo mazingira ya kesi hcho cheti hakina maana.
Akili yake iko sawa? kwa uthibitisho gani kwani umesikia alimpeleka kwa daktari kupimwa?
 
Back
Top Bottom