Toka nimeanza kuwa na uelewa mpaka leo nasikia kuwa 'Hizi ni siku za Mwisho'

Hii lugha inanishangaza sana Zaidi ya miaka 30 sasa naisikia, wataalamu wa dini tupeni ufafanuzi unaonesha kuwa hizi ni siku za mwisho

Ukisoma Kitabu cha Mathayo 24 utakuta Yesu akieleza wanafunzi WAKE DALILI za mwisho wa Dunia. Hivyo watu wa dini wanachofanya ni kuona hizo dalili na kutoa maonyo, kuwa jamani eeeh, zile dalili ndio hizi, hivyo huwaonya watu wajue.
Nimeweka chini hapo mistari kidogo ya Mathayo 24

Mathayo24:3 Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakisema, Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya kuja kwako, na ya mwisho wa dunia?

4 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye.

5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.

6 Nanyi mtasikia habari za vita na matetesi ya vita; angalieni, msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado.

7 Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwa na njaa, na matetemeko ya nchi mahali mahali.

8 Hayo yote ndiyo mwanzo wa utungu.

9 Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu.

10 Ndipo wengi watakapojikwaa, nao watasalitiana, na kuchukiana.

11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.

12 Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa.

13 Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.

14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.

15 Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu),

16 ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani;

17 naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake;

18 wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake.

19 Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku hizo!

20 Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato.

21 Kwa kuwa wakati huo kutakuwapo dhiki kubwa, ambayo haijatokea namna yake tangu mwanzo wa ulimwengu hata sasa, wala haitakuwapo kamwe.

22 Na kama siku hizo zisingalifupizwa, asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitafupizwa siku hizo.

23 Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.

24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.

25 Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.

26 Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki
 
😂😂😂😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Mimi si mtaalamu wa dini lakini kwa uwelewa wangu ni kuwa balance life, fuata mafundisho ya dini kama ulivyofundishwa. Hata hiyo sikujua “mwisho” ukikutana na hukumu hutakosa hata zuri moja.

Usiwatendee watu usiyotaka kutendewa.

Enjoy life, fanya vile vitu roho inapenda. Jua ku balance.

Hivi ukifa na kweli ukikuta Mungu yupo utafanya nini?
 
Kwa mujibu wa Biblia, Yesu aliwaambia watu kwamba hawatafariki kabla yeye hajarudi ujio wa pili.

Watu wakaona haina maana kulima, kufanya kazi, kufanya biashara kama Yesu anarudi karibuni na dunia inafikia mwisho wake.

Wakauza majumba, mashamba, wakaacha kazi, wakakaa wanamsubiri Yesu arudi ujio wa pili.

Mpaka leo miaka zaidi ya 2,000 wengine wanarudia kumngojea.

Yesu muhuni sana, kawaacha watu solemba mpaka leo wanamsubiri.
 
Hii lugha inanishangaza sana Zaidi ya miaka 30 sasa naisikia, wataalamu wa dini tupeni ufafanuzi unaonesha kuwa hizi ni siku za mwisho
Huoni mabadiliko yanavyoendelea kutokea miaka ya nyuma hakukuwa na vimbunga kama vya idae na Kenneth. Mabadiliko hujasikia ya tabianchi Ulaya wiki iliyopita kuna sehemu za ujerumani na ufaransa zilifikisha joto la 40 centrigrade. Maafa mifarakano
 
Kwa mujibu wa Biblia, Yesu aliwaambia watu kwamba hawatafariki kabla yeye hajarudi ujio wa pili.

Watu wakaona haina maana kulima, kufanya kazi, kufanya biashara kama Yesu anarudi karibuni na dunia inafikia mwisho wake.

Wakauza majumba, mashamba, wakaacha kazi, wakakaa wanamsubiri Yesu arudi ujio wa pili.

Mpaka leo miaka zaidi ya 2,000 wengine wanarudia kunmngojea.

Yesu muhuni sana, kawaacha watu solemba mpaka leo wanamsubiri.
Kiranga bhana!
 
Kwanini mkuu sifa ni kusimamia kile unacho amini kupitia msaada wa physical facts
Sawasawa mkuu.

Kuna mambo fulani ya msingi, kama kutokuwapo kwa Mungu, ukishayaelewa, hizi hadithi za kutishana ili utoe sadaka utakuwa unazicheka tu.

Unaweza kuamua kutoa hela kusaidia watu wenzako kwa sababu ya kuwa na nia ya kusaidia watu tu, si kwa sababu umetishwa usipotoa hutaenda mbinguni kwa Mungu.
 
Back
Top Bottom