Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 725
Habari senu wana JF wote nafurahi kuwa pamoja nanyi kwani mmefanya maisha yangu kuwa ya furaha sana. Jamani mimi kama mimi toka nianze kuingia JF maisha yangu yamekuwa ya raha na furaha sana mpaka nimeanza kunenepa. Mkoloni akinikera nakuja malizia stress humu, wamoyo akinikera nakuja malizia stress zangu humu watoto nao wakinikera na mengine mengi na hv hata kwenye simu naweza ingia na kusoma na kuburudisha nafsi basi raha tupu. Baba chacha ndio huwa anashangaaga akiniuzi tu anaona nashika simu utamsikia kazi yako kutuma msg tu kumbe angejua mi naenda kutuliza roho kwa wapwa na binamuz nikiingia humo dk tano basi anashangaa namsemesha vizuri kama hatujagombana kumbe siri ya yote JF nawapenda wote AND LET ME BE THE FIRST TO WISH U ALL MERRY XMASS AND HAPPY NEW YEAR 2012