Toka Mtandaoni: Yahusuyo kuvuja kwa sauti za makada maarufu wa CCM Nape Nnauye na Mzee Abdulhaman Kinana

Kumbe mshana hata wewe kuna nyakati haupo serious.

Sikutegemea mtu kama Mshana uanzishe thread iliyosheheni false accusations.
 
Kundi A ni Magufuli, Mkapa, Lowasa, Rostam, Mabeyo, Sirro,Ndungai, Lipumba, Silaa...

Kundi B ni Nape, Kinana, Kikwete, Membe, na Zitto

Haihitaji degree kujua kundi gani litafurahishwa soon
 
Mtapoteza muda wenu mwingi kwa Kujadili hili Sakata na mengineyo mengi tu yawahusuyo hao Wazee na Musiba hadi akina Makonda ila bado naendelea Kusisitiza tena kuwa Mimi lawama zangu zote juu ya haya Mauzauza yanayotokea sasa nazipeleka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Mrisho Kikwete. Wenye Akili mtanielewa kwanini namlaumu sana na kila mara Yeye pekee na siyo mwingine / wengine.
Sawa Membe na Magufuli wana tofauti gani ?
maana chaguo la kikwete alikuwa Membe.
 
Mimi nashangaa sana watu wanajiita waheshimiwa tena wasomi lakini bado hawajitambui na hawatumii akili. kwanza kabisa mjue siku hizi mitandao ya simu sio ya kwenu nyie ni wamiliki wa simu tu lakini sio wamiliki wa mtandao.ukitaka kujua kwamba hata wamiliki wa mitandao ya simu ni majambazi ni kwamba kuna siku kama mbili tena kwa wiki tofauti nilimpigia ndugu yangu nikitaka kumtumia m-pesa cha ajabu nilivyomuambia tu kwamba nitamtumia pesa saa kumi jioni kabla ya saa kumi hiyo nikatumiwa msg na namba nyingine kwamba nitume hiyo pesa kwa namba hiyo ikabidi nimpigie ndugu yangu kama ni yeye kweli kanitext akanijibu hapana. mara ya pili tena wiki iliyofuata nikaongea na mtu mwingine kwamba nitamtumia pesa aniletee mfanyakazi gafla nikatumiwa msg kwamba nitumie kwa namba fulani nikampigia tena huyo ndugu wa pili akaniambia hapana sio yeye amenitext hao ni matapeli. hivyo basi ninachotaka kusema na kuwahakikishia hapa ni kwamba matapeli na majambazi wa pesa za watu na wanaosikiliza mazungumzo ya wateja wao ni wamiliki wa mitandao nazani hiyo system ya IT haiko salama kwa wananchi wote kuna watu wanasikiliza mazungumzo yenu pasipo nyie kujua manake nimejiuliza kwanini kila nikiongea na mtu kwamba nitamtumia pesa ndio msg inaingia kwangu? tena kwa namba tofauti? unataka kuniambia serikali imeshindwa kuwakamata hawa matapeli?

Haya tuje kwenye issue ya Nape na kinana nazani kama kweli wameongea kwenye simu zao basi nitawaita ni wajinga wa kutupwa manake hata mimi sijaenda shule lakini siwezi fanya ujinga huo ukitaka kufanya mambo yako kimafya wewe mpigie mtu simu mkutane mahali muongee ana kwa ana mkiachana mnajua mmeishia wapi au mtaanzia wapi hata kama ni ushahidi wa mahakamani hakuna mtu anaweza kukupata na kesi unashinda kabisaaa sio kuongea siri zenu kwenye simu. kwa hiyo sisi wote wenye simu tujifunze kwamba simu ni kasha tu habari nzima wanayo ma ITsiku hizi hakuna uaminifu hata boyfriend au girlfriend wako akienda tu kuomba apewe msg zako akitoa rushwa ya elfu 20 tu anapewa msg zako zote ukweli ndio huo.
 
Nimeisikiliza clip inayodaiwa kuwa ni ya Nape na mzee Kinana wakizungumza kwenye simu. Nimeirudia zaidi ya mara 3. Bahati nzuri wote wawili nawajua in personal. Nape namfahamu na nimekutana nae kwenye matukio mbalimbali akiwa Katibu mwenezi wa CCM na baadae Waziri.

Kinana for the first time nilimuona ana kwa ana mwaka 2005 pale Kilimanjaro cranes Hotel. Tukiwa vijana wa Youth of the United Nations (YUNA) tulialikwa dinner na aliyekua mshauri wa Rais Mkapa kuhusu uchumi Dr.Cyril Chami, kutueleza azma yake ya kugombea ubunge wa Moshi vijijini mwaka huo. Kinana nae alikua sehemu ya 'congregation' hiyo. Baadae nikaja kumuona mara kadhaa akiwa Katibu mkuu wa CCM.

Kwa uzoefu wangu binafsi kuhusu watu hawa, nashawishika kuamini kwamba sauti zinazosikika ni sauti zao halisi (sio za kutengenezwa).

Lakini najiuliza wamewezaje kuongea mambo sensitive kama hayo kwenye simu? Wanasikika wakimlaumu Rais Magufuli kwamba amewasahau watu waliomnyanyua akafika hapo alipofika. Wamemuita Magufuli ni mshamba na ni mtu aliyechanganyikiwa. Wanaquestion hata IQ ya Mafufuli kuhusu mambo mbalimbali.

Wanajadili na kupanga mipango mizito ya kuonesha kutoridhishwa na namna Magufuli anavyoendesha nchi. Nape anamueleza Kinana kuwa tayari tamko lao na Makamba limeshaenda kwenye media na limepata msukumo mkubwa. Kinana anatoa maelekezo kwamba Mzee Makamba akipigiwa simu na waandishi wa habari asikubali kuongea lolote, badala yake awaambie wasome tamko.

Kinana anasema ameshaongea na Mkapa na Rais Mkapa anasikitishwa sana na namna Magufuli anavyoendesha nchi. Kinana anamuelekeza Nape aongee na Kikwete ili nae atoe tamko la "jumla jumla" ili isionekane anampinga Magufuli lakini angalau ujumbe ufike. Nape anamueleza Kinana atawasiliana na Warioba na wazee wengine nao watoe tamko. Wanasema Magufuli ameshindwa kuendesha nchi kiasi kwamba anaogopa hata kurudi Dar.

Kwa kifupi wameongea mambo mengi sana yanayolengaa mambo yafuatayo:
1. Rais Magufuli amewatupa waliomfikisha alipo
2. Rais ameshindwa kuongoza nchi
3. Kuna mpasuko mkubwa ndani ya CCM
4. Marais wastaafu na viongozi wengi wa zamani hawaridhishwi na namna nchi inavyoendeshwa lakini wanaogopa kusema
5. Nape na Kinana wana kisasi kikubwa na Rais Magufuli

Lakini swali la msingi linabaki je, clip hii imevujaje wakati waliongea kwenye simu wawili tu? Nani alirekodi kati ya Kinana na Nape? Nani alisambaza? Kwa maslahi gani?

Mhandisi mmoja wa mawasiliano anaeleza kuwa si Nape wala Kinana aliyevujisha sauti hiyo. Si Nape wala Kinana aliyerekodi. Si Nape wala Kinana aliyesambaza.

Hata ukisikiliza vizuri utagundua sauti zote mbili zinasikika clear. Ingekua mmoja kamrekodi mwenzake, yule aliyerekodi angesikika juu kuliko aliyerekodiwa. Kwahiyo hawakujirekodi.

Kuna namna mbili ambapo sauti hiyo inaweza kuwa imevuja. Namna ya kwanza ni kuvujishwa na mitandao wa simu wanayotumia (service provider). Namna ya pili ni simu zao kuingiliwa na wadukuzi.

Kuhusu mitandao ya simu kuvujisha iko hivi; watu wengi hawajui kwamba simu yoyote unayopiga inarekodiwa, na ujumbe wowote wa maandishi (sms) unaotuma unahifadhiwa. Ukimpigia mtu simu ukamtukana hata kama yule mtu hajakurekodi anaweza kukushtaki. Na mahakama ikiagiza kampuni husika ya simu ilete ushahidi wa maongezi yenu kwa siku hiyo unayoilalamikia, maongezi hayo yataletwa mahakamani kwa ushahidi.

Maongezi yote ya kwenye simu hurekodiwa automatically na hutunzwa kwa miezi mitatu kabla ya kufutwa kwenye database ili kuruhusu space kwa watumiaji wengine. Na 'sms' yoyote unayotuma hutunzwa kwa miezi 6 au zaidi.

Kwa kawaida mitandao ya simu hairuhusiwi kuvujisha taarifa za mteja katika hali yoyote isipokuwa kwa amri ya mahakama tu. Hii ni katika kulinda faragha (privacy) ya watumiaji.

Lakini sheria ya usalama wa taifa ya mwaka 1970 (National Security Act), sheria ya ujasusi na usalama ya mwaka 1996 (Intelligence and Security Service Act), na Sheria ya kuzuia ugaidi ya mwaka 2006 (Prevention of Terrorism act), zinaruhusu mitandao ya simu kutoa taarifa zako bila hata ruhusa ya mahakama, ikiwa tu mawasiliano yako yatashukiwa kwamba yanahatarisha usalama wa nchi.

Kwahiyo mitandao ya simu inaweza kutoa taarifa zako ikiwa ni pamoja na simu ulizopiga na 'sms' ulizotuma kama zitashukiwa kwamba zihatarisha usalama wa nchi. Pia sheria hizo zinaruhusu makachero wa TISS kudukua mawasiliano yako (kusikiliza simu zako na kusoma sms zako) kama watahisi mawasiliano yako yanahatarisha usalama wa nchi.

Kwahiyo mitandao ya simu si mahali salama sana pa kuongea mambo sensitive na kupanga dili kama hizi za Nape na Kinana. Mitandao ya simu ni ya kutumia kwa tahadhari sana.

Mahali pekee unapoweza kuwa na angalau uhuru kidogo wa kuongea kwa kujiachia ni kupitia whatsapp call, kwa sababu domain yake haitunzi conversation na huwezi kurekodi simu ya whatsapp. Lakini hizi simu za kawaida na meseji za kawaida ni "unoko" mtupu. Ukitaka kupiga simu ya kawaida, piga kuwajulia hali ndugu zako na kudiscuss viazi vyako ulivyolima kule Njombe. Sio mambo mazito kama haya ya kina Nape.

Je nani alaumiwe kwenye hii issue?
Wa kulaumiwa si mitandao wa simu (assuming wamelazimishwa kutoa hizo rekodi). wala wa kulaumiwa sio TISS (kama walihack simu za kina Nape na Kinana).

Wa kulaumiwa ni Nape na Kinana wenyewe, kwa sababu kwa uzoefu wao walipaswa kujua yote haya. Kwa sababu wao ni wanasiasa ambao ni 'high profile' walipaswa kujua simu zao zinaweza kuwa hacked wakati wowote, au mitandao ya simu inaweza kuvujisha mawasiliano yao itakapohitajika kufanya hivyo.

Kwahiyo kitendo cha wao kujiachia na 'kubwabwaja' kila kitu hadharani ni kosa lao wenyewe. Mambo kama haya walitakiwa kuongea wakiwa ana kwa ana. Na kama walishindwa kuonana wangepigiana hata whatsapp call, ambazo haziwezi kuwa hacked na third party.

Lakini kwa kuongea waziwazi kwenye simu means wameamua kujirisk wenyewe. Sasa wasubiri 'Bwana mkubwa' atawafurahisha.!
Kama imevuja ya Gwajima akila Uroda tena "video"na bado waumini wakamuelewa itakuwa hii ya "propaganda" za kisiasa?. Watanzania ebu tauche porojo tupige kazi tuakatufe hela...
 
Hawa jamaa na hizo clip zao ni poor sana kama ndiyo tunawategemea wafanye movement za kumuondoa Magufuli hamna kitu humo wanaishi zama za mwaka 47
 
Kuhusu sakata! Mi ni Chadema kindakindaki! lakini kiukweli nimeumizwa sana na mashambulizi dhidi ya kinana & co, yanayofanywa na cyprian & co, alipambana sana kuijenga sisiemu lakini kichaa & co wanachukulia poa daaa noma sana!
Nyamaza humjui kinana
 
Hiki chooote nimekisoma mahali kuwa kimeandikwa na Malisa.
Mkuu wangu hebu fanya acknowledgment basi.
 
Back
Top Bottom