Toka mtandaoni : 6 years since Muammar Gadaffi was killed

Gaddafi was a brutal dictator no matter what he did to Libya, even Dictator Stalin transformed the USSR from a Third World nation into a super power but this did not change the fact that he was a dictator and a murder (human freedom has no substitute)!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijalishi usemayoOdhiambo cairo, lakini wanaccm wanaitambua nchi hii ni ya democracy...

Binafsi bora tukose democracy lakini maendeleo yawepo, kama vile libya wakati wa Gadaffi, walitaka uhuru matokeo yake ndio haya, kupata yote kukosa yote.
Na hicho mnachokiendeza ndicho kilichomponza col. Gaddafi !!. Cha kudhani watu wanataka maendeleo bila freedom . Haya huwa si magumu kukiwa na nia njema.

Angalia kote duniani, ambako kuna maendeleo endelevu, ni democratic countries.eg Japan, South Korea, western Europe , northern America , Scandinavia countries.
Na Ni mawazo potofu na duni kudhani siasa za ki communist zitatutoa mrisi . Nasema big NO . Hizi ni siasa zinazomuabudu mtu, na si taifa na taasisi zake. Ni siasa zinazowatengeneza mamiunguwatu wa ama chama au kiongozi.

Tunahitaji siasa ambazo hata wakija watu tofauti na CCM, nchi isiwe na mtafaruku kama huo wa Libya .

Kwani wewe na tz yako na democrasia una chochote cha kuiambia NK!!!!
 
Kwani wewe na tz yako na democrasia una chochote cha kuiambia NK!!!!
Ana maendeleo gani ?! Au wewe kwako maendeleo mi makombora ?!. Nchi za ki communist hali ya watu ni ya chini sana compare to democratic countries.

Google uangalie standard ktk mataifa ya dunia hii utaujua ukweli . Achana na propaganda za macommunist like Tz .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana maendeleo gani ?! Au wewe kwako maendeleo mi makombora ?!. Nchi za ki communist hali ya watu ni ya chini sana compare to democratic countries.

Google uangalie standard ktk mataifa ya dunia hii utaujua ukweli . Achana na propaganda za macommunist like Tz .

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiye unaishi kwa propaganda, aliyekwambia watu wana maisha mazuri sababu ya democrasia ni nani???

Nenda Germany halafu ukawaulize chimbuko la maendeleo waliyo nayo leo, watakwambia ni dictator hitler.

Nchi ina wavivu wasiotaka hata kufanya kazi wanawaza kujengewa mpaka vyumba vya madarasa, uendelee kuwabembeleza si mtabaki mnatizamana tu!!.
 
Omba uhai miaka sita si mingi. Utaona tza ikianza upya . Nilikuepo awamu ya kwanza naijua na nipo leo naiona. Maendeleo hayawezi kuja kwa one man show! Never on earth

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhh, Mungu saidia huyu kiumbe aache uchawi.

Nchi sio pensi ya dukani, kila anayehitaji ajaribu.
Yes siyo jeans wala gaguro . Lakini wewe kiongozi unamjuaje kama si kupitia kwa wananchi ?!.kama wanamchagua Seif halafu muhuni moja anaitwa Jecha anafuta matokeo, tuiiteje hii kama si uhuni. Na maendeleo yapi ameyafanya huyo kama kubebwa batalions za wabara. Wananchi ndiyo wanajuwa nani wa kushirikiana naye kuleta maendeleo . Siyo ng'ombe walazimishwe kunywa maji.

Kama unafikiri kuna nchi yoyote duniani, wananchi ndio wanachagua wa kuwaongoza bado una safari ndefu mkuu, pole sana.
 
Katika vitu vinavyonishangaza ni suala la nchi kuingia kwenye machafuko kisa kuna mtu mmoja hataki kuachia madaraka na wengine wanataka huyo mtu aachie madaraka,kwa upande wangu huwa naona pande zote mbili zina matatizo maana upande mmoja mtu yuko radhi kuharibu nchi kwa sababu endelee kuwa na madaraka na upande mwengine nao wako radhi kuharibu nchi yao nzima sababu ni kutaka kumtoa mtu mmoja au utawala uliyopo ili waweke wengine.
 
Unajua nani alikuwa anawatuma hao waliotaka aachie madaraka ...?
Nafikiri mwenyewe Gadafi alikwisha wataja hao watu waliyowatuma au kuwasaidia walibya kufanikisha walichokuwa wakikitaka ambacho ndio kuondoa utawala wa Gadafi.
 
*It’s exactly 6Yrs since Muammar Gadaffi was Killed*

*Muamar Gaddafi's Prophecies:*

```"I will not go into exile to any foreign country. I was born here in Libya, and I will die here. This country was a dessert, and I turned it into a forest, where everything can grow.
No one Love this land more more than its citizens. If Europe and America tells you that they love you, be careful. They love the wealth of your land. The oil and not the people. They are helping you to fight against me but, it will be more wise for you to fight against them because they are fighting against your future and progress.

My message to you the people of Libya is, they are helping you to kill me but you will pay the price because you will suffer. And my message to you America and Europe is, you will kill me, but be ready to fight a never ending TERRORISM.
Before you realise your ignorance, terrorists will be hitting you at your doorstep."

GADDAFI once told the Nigerian and British governments to divide Nigeria into two, so that the Hausa/Fulani (Moslems), Yoruba (Christians) and Biafrans/Igbo, can live as neighbouring countries.

It's good we look at these 16 REAL REASONS WHY COL. GADDAFI WAS KILLED:
1. There is no electricity bill in Libya, electricity is free for all its citizens.
2. There is no interest on loans, banks in Libya are state-owned and loans given to all its citizens are at a 0% interest by law.
3. Home is considered a human right in Libya. Gaddafi vowed that his parents would not get a house until everyone in Libya had a
home.
4. All newlyweds in Libya receive $60,000 Dinars (US$50,000) from the government to buy their first apartment.
5. Education and medical treatments are free in Libya. Before Gaddafi, only 25% of Libyans were literates. Today, the figure stands at 83%.
6. Libyans taking up farming as a career, they received farm land, a farming house, equipment, seeds and livestock to kick- start their farms – all for free.
7. If Libyans cannot find the education or medical facilities they needed in Libya, the government funded them to go abroad for it.
8. In Gaddafi's Libya, if a Libyan buys a car, the government subsidized 50% of the price.
9. The price of petrol in Libya is $0. 14 per liter.
10. Libya has no external debt and its reserves amount to $150 billion – now frozen globally.
11. If a Libyan is unable to get employment after graduation, the state would pay the average salary of the profession as if he or she is employed until employment is found.
12. A portion of Libyan oil sale is credited directly to the bank accounts of all Libyan citizens.
13. A mother who gave birth to a child under Gaddafi, received US $5,000 as child benefit upfront.
14. 40 loaves of bread in Libya
costs $ 0.15
15. 25% of Libyans have a university degree
16. Gaddafi carried out the world’s largest irrigation project, known as the Great Man- Made River Project, to make water readily available throughout the desert country.
If this is called "Dictatorship", I wonder what type of Leadership Democrats have!!
Share this to remember Gaddafi```

Jr
[/QUOTE MSHANA NAKUULIZA

Lipi bora kupewa samaki au kufundishwa kuvua samaki?

Libyans they are so smart leave them alone to fish for themselves, kinachokufanya uwaonee huruma ni shida zako za kibongo bongo. rumba kali la kuendekeza ulaji tu. unahamishia kwa walibya. ....... ''wange! ...... wange!'' nini..... Marehemu alipaswa kuachia nchi na watu wengine waonyeshe vipaji vyao. kwani kupewa huduma zote bure ndo maisha bora? muhimu wafanye kazi wawe na hazina zaidi na zaidi.

Natamani kama ungeniambia huyu Rais aliibua na kuendeleza vipaji vya wanasayansi fulani hivi wamafanya moja mbili, na mchango wa Libyans kama m-Afrika Duniani ni kadha wa kadha.
War is the chanells of blessings.wataimaliza wataijenga Libya na bongo yenye amani iko palepale, subili tu.
 
Na hili ndio litakalo mtokea bwana mkubwa siku akishastaafu no body Willi give a f$%ck about him

He will be total forgetted

Sent using Jamii Forums mobile app

Sipendi kumtaja mtu awaye yote kwenye michango yangu humu JF Plse. Kama una mtu unayedhani nimemsema mimi sina. Nimesema, hao kina Gadafi walidhani kuwa maendeleo ni kuwaletea wananchi Midude tu na kuwawekea hapo mlangoni pao wakidhani kuwa hayo ndo maendeleo.
Jifunzeni kwenye miradi ya Tassaf. Wanasema; Je, weye mwananchi umeweka nini hapo ili tukiongezee?? Mtu atasema, hata mimi nimewekeza pale nguvu zangu.
Ukiwapelekea hospitali kuubwa ya bure watasema; Huyu anataka tusiene India kupandikizwa maini, ili tufe mapema ale fedha yetu. Lakini ukiwaambia; Tunaijenga hii hospitali ili mlipie nusu ya matibabu, na nusu serekali ilipie, watakuona wewe una akili. na upendo mwingi kwao.
Ukiondoka, watakuwa wanasema, Alifanya mengi. That is life, nothing is for free which is liked.
 
Na hili ndio litakalo mtokea bwana mkubwa siku akishastaafu no body Willi give a f$%ck about him

He will be total forgetted

Sent using Jamii Forums mobile app

Sipendi kumtaja mtu awaye yote kwenye michango yangu humu JF Plse. Kama una mtu unayedhani nimemsema mimi sina. Nimesema, hao kina Gadafi walidhani kuwa maendeleo ni kuwaletea wananchi Midude tu na kuwawekea hapo mlangoni pao wakidhani kuwa hayo ndo maendeleo.
Jifunzeni kwenye miradi ya Tassaf. Wanasema; Je, weye mwananchi umeweka nini hapo ili tukiongezee?? Mtu atasema, hata mimi nimewekeza pale nguvu zangu.
Ukiwapelekea hospitali kuubwa ya bure watasema; Huyu anataka tusiene India kupandikizwa maini, ili tufe mapema ale fedha yetu. Lakini ukiwaambia; Tunaijenga hii hospitali ili mlipie nusu ya matibabu, na nusu serekali ilipie, watakuona wewe una akili. na upendo mwingi kwao.
Ukiondoka, watakuwa wanasema, Alifanya mengi. That is life, nothing. Nothing that is for free which is liked.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom