Toka mtandaoni : 6 years since Muammar Gadaffi was killed

Hapo ndo ingekuwa msala...hivi kwanini hii dini inapenda kulazimisha kila mtu awe kama wao?

Kama dini yako ni ya haki na ukweli komaa nayo mwenyewe usilazimishe tufanane!

Mbona upande mwingine haufosi watu wale kuhamia kwao!

Kutakuwa na shida mahali kwenye hii Dini!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jaribu kusoma kidogo, hii dunia imejaa propaganda kuliko maelezo. Kuna wale wengine wanalazisha ushoga kisa tu wanawapa watu misaada..

Mengine ukistaajabu ya mussa, utakuja kushanga na vioja vya firauni..
Huwa naishia kutabasamu nikiwa na soma vihoja vya walimwengu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hio utawala wa jiwe wa kubana pesa +ufisadi mkubwa ni bora kuliko ule wa kikwete wa demokrasia kiasi na mipesa nje nje ?
Huu wa jiwe hauwez kuwa bora sababu chorus na verse vitu viwili tofauti, huwa nafananisha km wimbo wa young dee bongo bahati mbaya. Huku anasema kuibiwa basi huku CAG anafichua wizi mkubwa..

Kuna sehemu nilikuqoute nikakwambia km udiktekta ulileta asali ya ukweli basi uliwafaa achana na huu udiktekta uchwara usiokuwa na asali ya kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndo ingekuwa msala...hivi kwanini hii dini inapenda kulazimisha kila mtu awe kama wao?

Kama dini yako ni ya haki na ukweli komaa nayo mwenyewe usilazimishe tufanane!

Mbona upande mwingine haufosi watu wale kuhamia kwao!

Kutakuwa na shida mahali kwenye hii Dini!

Sent using Jamii Forums mobile app

Tunaomba ushahidi wa hicho mnachokisema
 
Mkuu binadamu kaumbwa kuwa huru....iwapo Mwenyezi Mungu katupa uhuru wa kumwabudi yeye au laa hivyo Basi hakuna binadamu atakaye mnyima mtu uhuru akabakia salama?!!....Gadafi alifanya mengi mazuri kosa ni kuwanyima uhuru watu wake.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli!Na uhuru wameupata maana siku hizi wanapiga mbizi kwenda nchi mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ewaaa!! Uko sawa kabisa mkuu, sasa km ni utaratibu wao basi hawapaswi kuingilia taratibu za wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ma DICTATOR hawa wasipopigiwa kelele, watakula nyama za watu. Bokassa ni mfano wao. Waafrika sisi bado taratibu zetu si imara, zinategemea na personality ya kiongozi badala ya taasisi imara za kuongoza umma.

Hapa siwazungumzii hawa madiktekta uchwara, hawa wanaotuambia sasa ni mwisho wa kuibiwa kumbe wao ndio wanaiba zaidi, wanaimba asali jukwaani wakati kiuhalisia wadanganyika wanalambishwa uji uliokosa hata chumvi..

Namzungumzia dictator gaddafi ambae kwake wananchi walipata asali ya ukweli.
Hawa waduwanzi wakaja kumuwekea zengwe wakati huko kwao kuna watu wapo miaka na miaka wanatafuta tu mema ya nchi na hawasumbuliwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jr huyo mtu alikuwa great man. Lakini hili neno analolikataa Ndugai "dhaifu" ina kila moja . Gaddafi alitakiwa kujua ya kuwa anawaongoza wanaadamu wenye utashi mbali mbali. Alitakiwa aweke utaratibu mzuri wa kurithishana madaraka . Toka kiongozi moja hadi mwingine na toka chama kimoja hadi kingine.

Tatizo la Africa ni viongozi walioko madarakani kujiona mamiunguwatu watu wasiotaka mawazo mbadala au uongozi mbadala . Na kwa hili hata kwetu hatuko vizuri . Africa viongozi wetu wajifunze kuwaheshimu wanaowaongoza. Huwezi kukaa madarakani miaka 42 halafu ukataka mwanao aendelee baada kuondoka kwako.

Watachoka hata kama unawapa asali kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Korea kaskazini basi ukamshauri Kim.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliohusika watasuffer kwa ugaidi miaka ijayo vikundi vya kigaidi vitakuwa vingi kwa ajili ya kulipiza kisasi kwa mataifa yaliyohusika na mauwaji ya canal
Vijana wanakuwa na watakuta historia kwamba Libya yao ilikuwa nchi ya asali na maziwa enzi ya canal
Lakini kwa sababu ya fitina ya taifa Fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu binadamu kaumbwa kuwa huru....iwapo Mwenyezi Mungu katupa uhuru wa kumwabudi yeye au laa hivyo Basi hakuna binadamu atakaye mnyima mtu uhuru akabakia salama?!!....Gadafi alifanya mengi mazuri kosa ni kuwanyima uhuru watu wake.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kuandika kama hivi; wenye umri kuanzia miaka 47 kwenda mbele wanaweza kukumbuka mambo ya JK Nyerere, ingawa Tanzania ilikua masikini sana lakini hopsitali ilikua bure, shule zote kuanzia msingi hadi chou ilikua bure, tena wanafunzi walikua hadi nauri wanarudishiwa na pia mazaga zaga kibao walikua wanapewa shuleni kama tanbond (tanbond unaweza kuuita blue band leo) sabuni za kufulia nk, wanafunzi wa chou kikuu sidhadni kama walikua na tofauti kubwa saana na wafanyakazi but ni Nyerere huyo huyo aliyenusurika kupinduliwa more than 5 times; ukimnyima binadamu UHURU hata wa kufikiria, kukosoa na kusema anacho kiamini, tegemea yaliomkuta Gadaffi. Nadhani hata nchi nyingi sana za Kiarabu ni kama kwa sehemu kubwa wana Maisha ya bure sana but je, kuna Amani ya maana kwenye nchi yeyote ya Kiarabu? Hili ndio kosa kubwa sana analolifanya mhe No 1 wetu hapa bongo.
 
China wanaishi maisha haya lkn sijasikia choko choko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini mtu mmoja ang'ang'anie madaraka as if wewe ni Jiwe ukaishi milele ?!. Tujiwekee utaratibu wa kuongozana vizuri toka mtu hadi mwingine na toka chama kimoja hadi kingine . Ndipo hapo mazuri yatakapokuwa endelevu . Nasi hii ya matendo mema kuondoka na kiongozi mhusika.

Mfano kwanini Tz tusijiwekee utaratibu mzuri Leo ?!. Badala ya kusubiri machafuko au vita !!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Raisi ameifanyia nchi yake mazuri, maji bure, umeme bure, mja mzito anapewa dola 5000 n.k. kwanini asiendelee hata miaka 100!!!

Huyu wa kwetu ametubania kila kitu, kuingiza magari ushuru mkubwa, viwanja na manyumba tunalipia kodi, mpaka waendesha baiskeli aka boda boda wanalipia kodi!! Ukija kwa wageni hivyo hivyo, wenye makampuni wamefungiwa na kusababisha wazawa kukosa kazi....

Nchi yetu ni ya democracy lakini tuna faidika na nini ndani yake?? Ni upumbavu tu.
 
Mkuu binadamu kaumbwa kuwa huru....iwapo Mwenyezi Mungu katupa uhuru wa kumwabudi yeye au laa hivyo Basi hakuna binadamu atakaye mnyima mtu uhuru akabakia salama?!!....Gadafi alifanya mengi mazuri kosa ni kuwanyima uhuru watu wake.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna uhuru usio na mipaka wewe. Angalia uhuru wa leo kama ni uhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi ameifanyia nchi yake mazuri, maji bure, umeme bure, mja mzito anapewa dola 5000 n.k. kwanini asiendelee hata miaka 100!!!

Huyu wa kwetu ametubania kila kitu, kuingiza magari ushuru mkubwa, viwanja na manyumba tunalipia kodi, mpaka waendesha baiskeli aka boda boda wanalipia kodi!! Ukija kwa wageni hivyo hivyo, wenye makampuni wamefungiwa na kusababisha wazawa kukosa kazi....

Nchi yetu ni ya democracy lakini tuna faidika na nini ndani yake?? Ni upumbavu tu.
Tuna democracy gani ?! Labda sikuelewi !!. Democracy ambayo mtawala akishindwa kura zinafutwa ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom