Toka mtandaoni : 6 years since Muammar Gadaffi was killed

Uhuru gani aliwanyima
Kama umewahi kukutana na walibya zaidi ya mmoja au umewahi kwenda Tripoli au tarabulus kama wanavyoita sawa ntakusoma
Zamani huwezi kukuta Mlibya anaondoka Libya na kwenda kutafuta kazi nchi nyingine unajua kwanini?
Kwa sababu neema zote zilikuwa kwao na mataifa mengi ya jirani yalikuwa yanaenda kutafuta ajira kwao.
Nina uhakika na haya na ninapajua
Uhuru ulikuwepo
Ila sasa ndio uhuru hamna na haitakuwa sawa tena na wazungu waibe sasa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kwani imekuwaje now Libya....naona walibya ni wanalalamika mitandaoni vibaya vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu yako tafadhali. Isije kuwa tunahangaika na MMEM au MEMKWA !!

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapa ndipo mnayumba makamanda, Hata mkiulizwa kuhusu democrasia ya mwenyekiti chamani, hukimbilia kusema, ah sisi tunamtaka yeye aendelee.

Markia ni ceremonial ndio, lakini hebu chukua muda upitie role yake katika sheria za nchi ya uingereza, hujiulizi hata kwanini hawana rais moja kwa moja bali waziri mkuu, nafasi ya rais inachukuliwa na nani???
 
Kosa lake kubwa ni kubeza dini nyingine !!! kumbuka alivyokodi machangu kule itally na kuwabebesha kitabu fulani ......lakini alitaka kuibadilisha afrika kuwa ya dini moja kwa kutumia nguvu za fedha na za kijeshi.....kumbuka alivyotuma majeshi yake yaje yawapige watanzania akiwa anaunga mkono yasaidie anamwita ndugu yake katika imani iddi amini dada
Hapo ndo ingekuwa msala...hivi kwanini hii dini inapenda kulazimisha kila mtu awe kama wao?

Kama dini yako ni ya haki na ukweli komaa nayo mwenyewe usilazimishe tufanane!

Mbona upande mwingine haufosi watu wale kuhamia kwao!

Kutakuwa na shida mahali kwenye hii Dini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda tu unajifurahisha. Hivi UK Queen anaongoza serikali ?! Serikali inaongozwa na PM na hata sasa anayehangaika na breaksit ni PM wala si Queen . Na chaguzi zao ni very democratic. Siyo hii ya wakurugenzi wanaambiwa atakayemtangaza mpinzani hana kazi !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini mkuu si anakula mema ya nchi, ule ukoo toka nitoke wanatafuna tu raha mbona hawajapigwa chini sasa.. Haya masuala ya demokrasia ni janja ya wazungu tu, km nchi ina maendeleo km mjomba gadafi aliyowapa walibya safi tu, Uhuru gani walikuwa wanataka wao, kwani waliambiwa walale saa 2 za jioni ama.. Sasa hiyo demokrasia/uhuru walioutaka wao ndio unawalipia ada shule, unawaajiri, unawapa huduma za afya bure n.k n.k yote aliyoluwa anawapa mjomba gadafi...

Mjomba putin yuko pale na mbona mmarekani haendi kumtoa, kule kwa kina jackie chan yupo mjomba xin ji ping tena ni rais wa maish wao wachina yao yanawaendea hawana tabu, hebu fikiria toka umeanza kusikia netanyahu, angela merkel wapo tu..

Mwisho wa siku demokrasia sio inayoleta mema ya nchi, hailet huduma za kijamii za bure, Gaddafi alikuwa sahihi kwa asilimia kubwa na hiyo speecj yake itaishi miaka elfu huku walibya wakijutia..

Haya wamepata huo uhuru, kipi wanafaidika na uhuru wao sasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hapa ndipo mnayumba makamanda, Hata mkiulizwa kuhusu democrasia ya mwenyekiti chamani, hukimbilia kusema, ah sisi tunamtaka yeye aendelee.

Markia ni ceremonial ndio, lakini hebu chukua muda upitie role yake katika sheria za nchi ya uingereza, hujiulizi hata kwanini hawana rais moja kwa moja bali waziri mkuu, nafasi ya rais inachukuliwa na nani???
Markia
ulimaanisha malkia au kitu gani ?
 
Queen Elizabeth na Rais wa ujerumani, na Yule mwingine wa Uholanzi ni ceremonial hawaziongozi serikali za nchi zao. Ni viongozi wa heshima tu. Wanaoongoza serikali za nchi zao wanatokana na vyama kupitia chaguzi huru. Si kiinimacho cha kina Jecha

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini wanakula mema ya nchi wanatafuna pesa za walipa kodi km hawana akili nzuri vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa uteenage wangu nilimchukia sana Ghadaffi kwa sababu alimsaidia Amini kutushambuia kule Kagera, ila badaye nilisamehe kwa vile alionyesha kujali sana uafrika kuliko kitu chochote; alitaka Afrika yote iendelee; nilipenda sana mtazamo huo. Kati ya failures kubwa za Obama ni hili la mauaji ya Ghadaffi na kuangushwa na utawala wa Misri wa Hosni Mubarak. Hata kama walikuwa ni madikteta, walikuwa wanaongoza nchi zao vizuri kulingana na mazingira yao kuwa na stability; angalia tangu wangushe ni nini kimetokea. Ni kama ambavyo George Bush alivyoangusha utawala wa Saddam Hussein na kuacha Iraq katika vurugu tupu. System ya utawala ya marekani siyo lazima iwe sahihi kwa nchi nyingine
Mkuu kuna mambo mengi sana wanayaficha lakini ukiingia deep katika maisha ya Libya na nchi yao ilivyokuwa na mpaka wakaamua kuchonganisha aondolewe ni kuwa Gadaffi alitaka kuiunganisha Africa wakiwa pamoja na marais wengine ambao sasa ni marehemu pia
Nia yake pia ilikuwa tuwe na sarafu yetu ya pamoja na yeye alitaka aanze na sarafu ya dhahabu ambayo ingekuwa ina thamani kuliko hata $
Hayo yalikuwa mawazo ya kutufanya tujielewe na kuwa huru
Sasa mpaka leo uhuru wa mdomo na bado wamesambaratisha kila kona ya dunia


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom