Toka mke wangu nianze kumkabidhi pesa zangu zote nikitoka kazini napata kitu cha ziada

Kesho usije na stori ya kusalitiwa eti mkeo kajenga kwao! Hakuna jipya chini ya jua... kuna wenzio walifanya unayofanya je, unajua matokeo yake? Maisha hayafanani. Ushi uonavyo ni sahihi.
 
MKAKATI HUO UNAMANUFAA MAANA LAZIMA UPATE PENZI LA NGUVU USIKU NA MUDA WOWOTE PESA SABUNI YA ROHO,
MAENDELEO NI KWAMBA PESA HUTAWEZA TENA KUITUMIA VIBAYA UTAOGOPA KUMUOMBA BILA SABABU INGAWAJE NAE HATAZITUMIA OVYO MAANA ATAOGOPA ATAKUAMBIA KAFANYIA NINI HIVYO RAHA YAKE NI KUZIONA NA KUZISHIKASHIKA
Axe iv hayo matumiz mengine ya kuzishikashika pesa yametangazwa lin na WB?hahah
 
Huyo mwanamke wako kama ana akili kama zangu inaweza kuwa ni nafuu kabisa kwako kumpa pesa zenu ashike. Sasa ukute ana akili ya bibi yangu Haki ya Mungu siku unayoulizia maendeleo ya hela uliyompa ahifadhi ujue ndio siku ndoa yenu inakufa maana utakuta kaitafuna yote na maelezo ya maana hamna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom