Toka mke wangu nianze kumkabidhi pesa zangu zote nikitoka kazini napata kitu cha ziada

Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,802
2,000
Wakuu nimeamua kujitoa kwa wife wangu, nakabidhi Amana yangu yote nikitoka kazini basi anajiskia Safi Sana na anajitoa Kwangu kwa kila kitu..

Mwanaume hebu fuata hii principal utaona matokeo Amani full Maraha tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka dakika hii umenufaikaje na huo mkakati?

Maendeleo yako yakoje baada ya kuanza huo mkakat?
Hali ya mahusiano yenu kama wanandoa yakoje?

Ukinijibu hayo basi nami niko tayari kukabidhi hata kadi ya benki kwa wife endapo ntajiridhisha na mambo flani flani juu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hammy Js

JF-Expert Member
Sep 20, 2017
3,071
2,000

PENTAKINYE

JF-Expert Member
Jan 3, 2019
818
1,000
MKAKATI HUO UNAMANUFAA MAANA LAZIMA UPATE PENZI LA NGUVU USIKU NA MUDA WOWOTE PESA SABUNI YA ROHO,
MAENDELEO NI KWAMBA PESA HUTAWEZA TENA KUITUMIA VIBAYA UTAOGOPA KUMUOMBA BILA SABABU INGAWAJE NAE HATAZITUMIA OVYO MAANA ATAOGOPA ATAKUAMBIA KAFANYIA NINI HIVYO RAHA YAKE NI KUZIONA NA KUZISHIKASHIKA
 

Old story

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
2,232
2,000

squirtinator

JF-Expert Member
Sep 20, 2015
2,775
2,000
Wakuu nimeamua kujitoa kwa wife wangu, nakabidhi Amana yangu yote nikitoka kazini basi anajiskia Safi Sana na anajitoa Kwangu kwa kila kitu..

Mwanaume hebu fuata hii principal utaona matokeo Amani full Maraha tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta majanga. Ukija shtuka kajenga kwao kwa majina yake na kapangisha na hajakushirikisha anakula mkwanja mwenyewe.
Always make a woman dependant to you, eidha ktk mapenzi au malezi, security au kitu chochote.
 

G.Jacob

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
3,569
2,000
Jaribio la kwanza ambalo nilikuwa nafanya kwa mwanamke ni kumkabidhi pesa angalau hata laki moja tu aniwekee, siku nikihitaji naiomba na nikukta pungufu au lugha ya kupindua matokeo basi ndo uchumba umevunjika hadi nilpobahatika kumpata mke wangu mpendwa. Yeye nilimfanyie kama wengine waliomtangulia lakini hadi akafikisha mil.3.4 bado anazitunza tu na hapo ilikuwa bado ule ugerofrendi na boifrendi tu kama mwaka mzima. Nikaona isiwe tabu huyu ndo mke na nikaitumia hiyo pesa kulipia mahali pamoja na kuongezea kwenye gharama za harusi yetu.
Hadi leo hii bado namuachia pesa zote za ziada ukitoa zile zipo kwenye mzunguuko kibiashara na anazitunza sana, ukipata mwanamke wa hivi nakushauri mkabidhi pesa akae nazo pia inasaidia sana kutokuwa na tamaa ya vipesa vya watu na wala hutamsikia akikuletea habari za vikoba wala upatu.

Yote kwa yote maisha kila mtu na lwake, hayanaga fomula haya maisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom