Toka Maktaba: Silinde asema akihama Chadema wananchi wachome nyumba yake, nadhani ni muda muafaka wakazi wa Momba kutimiza ahadi

Kukaidi maagizo ya chama ni sawa na kuhama
Halafu sasa hivi hata dau aliloahidiwa limeshuka kwa 90%
Kapata hasara
Nje ya chadema huna thamani
Hiyo ni namna unavyoelewa wewe, kwani aliyetoa maagizo yeye ni malaika hawezi kukosea?
 
Na kwa uharo anatema fupi ndugai ni wazi kannuliwa na ccm ila dau lake kuanzia jsna limeshuka kwa 90%
Kala hasara
Nje ya chadema huna thsmani
Muda si mrefu tean hapo octoba tu atakua toilet paper maana wahafidhina wa ccm wamejipanga kuzuia wote walionunuliwa kutoka chadema wasiteuliwe kugombea....

WAKATI UTAONGE TUKO UKINGONI
 
Back
Top Bottom