Toka Maige hadi Kagasheki, mbona wakurugenzi hawawajibishwi?

ASCUDA T

Senior Member
Sep 10, 2013
120
0
Kwanza nawasalimu ndugu watanzania wenzangu.

Kiukweli hata wakurugenzi wanatakiwa kuwajibishwa. Mfano taasisi ya utafiti ya wanyamapori[tawiri]na wasiwasi nao kutokana na mwenendo wale viongozi.

Nina wasiwasi kutokana na hali zifuatazo: Mwaka 2011 mkurugenzi wa carnivore aliuzia gari aina na nissan pasipo kutangazwa tenda kama uturatibu wa uuzaji mali za serikali,ajira kutolewa bila kufuata vigezo stahiki.Mfano mwaka 2010 walimuajiri mlinzi Omari Mhomba ambae umri uliowekwa katika tangazo lao ni mkubwa kuzidi maelezo na ajira za kindugu.

Mkurugenzi wa Tawiri Serengeti walipopishana pale mkurugenzi mkuu alipokuwa anamtetea mzungu aliyekuwa na kontena lizaniwalo kuwa na nyara za serikali hatimae mkurugenzi wa Serengeti kumfukuza yule mzungu na kuondoka na kontena lake huku kisijulikane kilichokuwa ndani.

Pia utajiri mkubwa wa hawa viongozi mfano mkurugenzi msaidizi Julius Keyyu ana utajiri mkubwa wa kutisha na kaajiriwa muda mfupi tu.

Changieni bila itikadi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom