toka leo nimejitoa facebook -oneni ujumbe huu wenyewe

Hata mm fb niliiponda siku nyingi. Utakuta mambo binafsi ambayo eidha yalipaswa mtu atumie sms au e mail utakuta imemwagwa kwenye wall. Upuuzi mtupu.
 
nakataza kabisa matumizi ya facebook kwa wana ndoa. bado sijaona umuhimu wa facebook
 
pole sana angekuwa jirani tungemtumia Francis Cheka amuadabishe au wasemaje?
 
Hao wapuz wapo sn fb hata social ntwk nyngne,I once close fb accnt yng kwa ajl yao bt nkawablok mbal n m stl on fb. Wapotezee tu
 
@ Smile, pole kwa yaliyokukuta. Pole sana, I can imagine how you feel.
Niko nje ya facebook with my peace of mind mwaka wa 4 huu. Sanduku la posta, email, skype and phones, works just fine!
 
miwatu mingine yaani inakera!!!!! inalipuka tu pumba fb
block them
 
Hello how are you Do you know I love black girls because they are beautiful and exciting and has a great ass and very exciting and wonderful lips I want to see your ass, anus, breast, and I will pay you $ 500 after that offer first ... I can not send mil, mainly because of deception by one of the girls from Cameroon when he sent her $ 250 did not see her body ... Think carefully if you're OK and you have a cam Send your e-mail I swear to you I am honest with you my promise to send money

Aliyekutumia hiyo msg ni mwanamke au mwanaume?
 
Fesibuku.. Ee una maana fesibuku kule Kwa vijana Wa Sekondari Na msingi.. Sasa wewe ulienda tafuta nini huko? Ah
 
Facebuk waachieni watoto jamani,na watu wanaoing'ang'ania wengi wanatafuta mademu.Ukicheki mambo,ni kushindana leo nimelala na july,kesho naapointment na roza.Ful uhuni kule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom