toka leo nimejitoa facebook -oneni ujumbe huu wenyewe

yaani kisa katapeliwa vidola 250 ndo anataka apewe show halafu ndo alipe,kwanza ni dollar ya wapi us au ya kwa bob mugabe.
kwanza nani kamwambia kuwa wewe wewe unajiuza,hebu nikabidhi nimkomeshe huyu bazazi

Smile kaleta tu hapa story lakini hawezi jitoa fb
OTIS
 
Last edited by a moderator:
Basi mie ndio nimejiunga jana, account yangu bado mpya naichana kwenye makaratasi.
Nishapata mteja mmoja ila mie tunafahamiana.

Nasikia kuna ku-add na kuadua friends baso sijajua.
Afu kuna mmoja kaji-add sijui vip siwezi kumtoa

Nahitaji twisheni kwa kweli
 
Konnie bana..

Acha sanaa....
 
Basi mie ndio nimejiunga jana, account yangu bado mpya naichana kwenye makaratasi.
Nishapata mteja mmoja ila mie tunafahamiana.

Nasikia kuna ku-add na kuadua friends baso sijajua.
Afu kuna mmoja kaji-add sijui vip siwezi kumtoa

Nahitaji twisheni kwa kweli
huyu mwarabu wa leo kaniondolea mudi kabisa nitawamis maclass mate kweli jamani.
 
Tena bora umeleta topik ya fesi buku
It's very confusing

Sijui wapi pa kusoma msg na kufanya conversation
Kuna kitu nasikia kaandika kwenye wall yake mie hata sijaona wall yangu pale

Afu kuna kumzuia mtu asione conversation zako, bado sijajua.

Naomba tuisheni basi
 
Smile kaleta tu hapa story lakini hawezi jitoa fb
OTIS

kama kweli huyu mrembo anatudanganya atakua haamini,hata hivyo facebook kwani mtu unaweza kujitoa completely,nadhani unaweza kujitoa kwa muda kisha ukitaka una activate profile,so labda alijitoa kwa dk kadhaa then akaactivate mambo lol
 
nimejitoa kweli mamito sipendi upuuzi mie
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom