minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,366
Msimamo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Huo ndiyo msimamo wa kukiuka Sheria na katiba? Msimamo ni kumfukuza CAG kisa kaomba kukagua mahesabu ya ununuzi wa Ndege, ofisi ya Bunge na kusema ukweli juu ya trillion 1.5 zilizopigwa kienyeji? Hiyo misimamo ya kuwafukuza wasio na vyeti lakini akabagua na kumlinda Bashite asiye na cheti ni misimamo ya aina gani?Huyu mzee amezaliwa hivyo haigizi hatanii na wala hana mzaha JPM amekuwa ni mtu mwenye misimamo isiyoyumba anasimamia anachokiamini hapepesi macho sasa nyie mnaozoea mzaha mtaumia bure