Tanzania kama M/Kiti wa SADC tuna wajibu mkubwa sana na kinachoendelea Afrika Kusini hivi sasa.
Hatuwezi kuacha Waafrika wenzetu kutoka nje ya A.Kusini wakinyanyaswa na hata kuuawa na Waafrika wenzetu bila kukemea vitendo vya kinyama.
Nafikiri tunapaswa kutoa kauli yenye uzito unaotakiwa kwa Serikali ya A.Kusini ili kuwaenzi wazee wetu(Mwenyezi Mungu awarehemu) Julius.K.Nyerere na Nelson .M.Mandela waliopinga vikali ubaguzi.
Soma vizuri hapo juu thread yangu nimeeleza...
Mwekezaji hadi kibali kashapewa kutoka Wizara ya Nishati na Madini!
Ndugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.

Baadhi ya hospital zina rushwa sana. bila kutoa laki mbili ya daktari hujafanyiwa upasuajiJipu uchungu nimeliona hospitali ya Mwananyamala kitengo cha maabara watu wanaanza kupewa huduma saa tano. Na wakati wafanyakazi wanafika ofisini saa moja wao ni stori tu na kuacha wagonjwa wanaendelea kuzidiwa....
Mtu amepima toka jana lakini kumpa tu majibu yake asubiri hadi saa tano ndo waanze kutoa majibu....wao na stori tu ofisini
Nikiangalia mchakato wa kura za maoni ndani ya ccm kwenye uchaguzi tarajiwa wa serikali za mitaa, naona ccm kama li-jipu fulani hivi. Kwenye kata nyingi kumekuwa na na kuombana rushwa ili jina lako lipitishwe. Najaribu kufikiriNdugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Una kumbukumbu za misimamo yake Bungeni? Swali tu! VIP ile mikataba mibaya au ulikuwa msimamo wa chama au misimamo ameanza Leo?Huyu mzee amezaliwa hivyo haigizi hatanii na wala hana mzaha JPM amekuwa ni mtu mwenye misimamo isiyoyumba anasimamia anachokiamini hapepesi macho sasa nyie mnaozoea mzaha mtaumia bure
Huyo ni mvunja katiba na Rais wa hovyo kuwahi kutokeaHuyu mzee amezaliwa hivyo haigizi hatanii na wala hana mzaha JPM amekuwa ni mtu mwenye misimamo isiyoyumba anasimamia anachokiamini hapepesi macho sasa nyie mnaozoea mzaha mtaumia bure
Wanao msifia??Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki