Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa... | Page 32 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JamiiForums, Feb 13, 2016.

 1. JamiiForums

  JamiiForums Official Robot Staff Member

  #1
  Feb 13, 2016
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 5,103
  Likes Received: 2,290
  Trophy Points: 280
  Ndugu wana JamiiForums,

  Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.

  Karibuni sana.

  MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.

  Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
   
 2. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #621
  May 29, 2017
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,101
  Likes Received: 1,714
  Trophy Points: 280
  rais aendelee kufumua na kuboresha mifumo ya utendaji serikalini ambayo ilikuwa corrupt na weak
   
 3. d

  dodomao Member

  #622
  May 29, 2017
  Joined: May 22, 2017
  Messages: 39
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 25
  Mimi ninashida ambayo mtatuzi wake ni waziri wa ulinzi na usalama maana hawa waliopewa dhamana ya kutulinda sisi na mali zetu wameshindwa kunitatulia tatizo langu .ninaomba mwenye mawasiliano ya waziri mheshimiwa Mushemba anipe
   
 4. mkasanzu

  mkasanzu Member

  #623
  May 29, 2017
  Joined: May 27, 2017
  Messages: 25
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 5
  Wangekuwa wanakaa mbezi shida yaumeme isingekuwepo
   
 5. Francis12

  Francis12 JF-Expert Member

  #624
  Jun 12, 2017
  Joined: Sep 30, 2016
  Messages: 6,560
  Likes Received: 17,031
  Trophy Points: 280
  Baada ya RIPOTI MBILI ZA 'MCHANGA' Sasa tunamwomba Mhe. Rais aunde TUME MAALUM kuchunguza UUZWAJI WA KIFISADI WA NYUMBA ZA SERIKALI.
   
 6. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #625
  Jun 12, 2017
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,672
  Likes Received: 1,617
  Trophy Points: 280
  Ni rahisi sana kuuhamisha Mlima Kilimanjaro na kuupeleka Mkoa mwingine wowote ,kuliko kuunda Tume kwa ajili ya Uchunguzi wa Nyumba za Serikali..

  Ni kama kumshika Simba Mkia aisee...
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #626
  Jun 12, 2017
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 165,238
  Likes Received: 445,599
  Trophy Points: 280
  Ajichunguze itawezekana?
   
 8. KWEZISHO

  KWEZISHO JF-Expert Member

  #627
  Jun 12, 2017
  Joined: Jan 29, 2016
  Messages: 6,787
  Likes Received: 5,352
  Trophy Points: 280
  Hapa napo panastahili kuangaliwa. Ndicho kipimo kizuri cha uzalendo wake
   
 9. tweenty4seven

  tweenty4seven JF-Expert Member

  #628
  Jun 12, 2017
  Joined: Sep 21, 2013
  Messages: 6,994
  Likes Received: 4,417
  Trophy Points: 280
  Hizo hazikuuzwa walipeana mpka mahawara zao
   
 10. kisu cha ngariba

  kisu cha ngariba JF-Expert Member

  #629
  Jun 12, 2017
  Joined: Jun 21, 2016
  Messages: 21,111
  Likes Received: 45,913
  Trophy Points: 280
  Nani kakuambia ni mzalendo?
   
 11. M

  Martin George JF-Expert Member

  #630
  Jun 12, 2017
  Joined: Jun 4, 2017
  Messages: 1,590
  Likes Received: 1,381
  Trophy Points: 280
  Ni kama umepanic!
   
 12. M

  Mama Obama JF-Expert Member

  #631
  Jun 12, 2017
  Joined: Mar 5, 2016
  Messages: 1,550
  Likes Received: 1,027
  Trophy Points: 280

  WACHA Amalize hili kwanza.
   
 13. Perfectz

  Perfectz JF-Expert Member

  #632
  Jun 12, 2017
  Joined: May 17, 2017
  Messages: 4,987
  Likes Received: 9,886
  Trophy Points: 280
  HII FUMUA FUMUA IPITE KILA SECTOR JAMANI WENGI TUTAUZA NAO NYANYA
   
 14. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #633
  Jun 12, 2017
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,876
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Anza na Sumaye kwanza. Kwa nini unamkwepa?
   
 15. KWEZISHO

  KWEZISHO JF-Expert Member

  #634
  Jun 12, 2017
  Joined: Jan 29, 2016
  Messages: 6,787
  Likes Received: 5,352
  Trophy Points: 280
  Yeye mwenyewe amejinasibu
   
 16. MZEE MSASAMBEGU

  MZEE MSASAMBEGU JF-Expert Member

  #635
  Jun 12, 2017
  Joined: Apr 19, 2013
  Messages: 2,593
  Likes Received: 2,282
  Trophy Points: 280
  Sumaye ndo alihonga nyumba za serikali kwa mahawara zake???
   
 17. Denis denny

  Denis denny JF-Expert Member

  #636
  Jun 12, 2017
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 5,748
  Likes Received: 7,547
  Trophy Points: 280
  Nyumba zingine walihonga mahawara ndo mana Chenge hawawezi mgusa kirahisi anajua sehemu gani nikishika panauma..
   
 18. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #637
  Jun 12, 2017
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,876
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Yaani unamkwepa Sumaye hivi hivi. Unajifanya umekuwa kipofu?
   
 19. Francis12

  Francis12 JF-Expert Member

  #638
  Jun 12, 2017
  Joined: Sep 30, 2016
  Messages: 6,560
  Likes Received: 17,031
  Trophy Points: 280
  Mikataba wa MV Bagamoyo, Mikataba wa Uuzaji wa Nyumba za Serikali, Ununuzi wa Bombardier nayo ipelekwe Bungeni ili tujue mbivu na Mbichi
   
 20. Francis12

  Francis12 JF-Expert Member

  #639
  Jun 12, 2017
  Joined: Sep 30, 2016
  Messages: 6,560
  Likes Received: 17,031
  Trophy Points: 280
  Kama anahusika sheria ichukue mkondo wake kila mtu atavuna alichopanda kwa muda wake.
   
 21. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #640
  Jun 12, 2017
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,876
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Kama?
   
Loading...