Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa... | Page 28 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JamiiForums, Feb 13, 2016.

 1. JamiiForums

  JamiiForums Official Robot Staff Member

  #1
  Feb 13, 2016
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 5,103
  Likes Received: 2,290
  Trophy Points: 280
  Ndugu wana JamiiForums,

  Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.

  Karibuni sana.

  MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.

  Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
   
 2. c

  cheu yang Senior Member

  #541
  Mar 15, 2017
  Joined: Mar 4, 2017
  Messages: 120
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  ajinyee kuanzia dar mpaka moro
   
 3. nsharighe

  nsharighe JF-Expert Member

  #542
  Mar 15, 2017
  Joined: Aug 9, 2015
  Messages: 696
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 180
  Kuruhusu demokrasia ifanye kazi
   
 4. Ambiele Kiviele

  Ambiele Kiviele JF-Expert Member

  #543
  Mar 15, 2017
  Joined: Dec 29, 2014
  Messages: 11,388
  Likes Received: 19,388
  Trophy Points: 280
  Alete ile Katiba Ya Walioba
   
 5. robby klax

  robby klax JF-Expert Member

  #544
  Mar 15, 2017
  Joined: Jul 30, 2016
  Messages: 296
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  Swadata
   
 6. kamanda mbigi

  kamanda mbigi JF-Expert Member

  #545
  Mar 15, 2017
  Joined: Feb 8, 2017
  Messages: 1,254
  Likes Received: 1,518
  Trophy Points: 280
  Akosema anaachia ngazi
   
 7. Bahimba

  Bahimba JF-Expert Member

  #546
  Mar 15, 2017
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 512
  Likes Received: 269
  Trophy Points: 80
  Hilo ndo litabeba impact nzima ya zana yake ya kutetea wanyonge maana wapo walofoji vyeti na walikua watumishi wametimuliwa saivi wapo vijijini, sasa wanapoona wengine hawachukuliwi hatua yeyote hata kama angegawa pesa kila siku kwa raia wa Tanzania hakuna atakae mwelewa
   
 8. S

  Shuma Clinton Senior Member

  #547
  Mar 15, 2017
  Joined: Apr 4, 2013
  Messages: 113
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Shushu bnh mmetumwaa eeeh kichinjiioo kipo nakitunza kuliko mboni yng
   
 9. DENLSON

  DENLSON JF-Expert Member

  #548
  Mar 15, 2017
  Joined: Apr 28, 2013
  Messages: 351
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 80
  Arudishe pesa ya kagera kwa waathirika
   
 10. halloperidon

  halloperidon JF-Expert Member

  #549
  Mar 15, 2017
  Joined: Feb 16, 2015
  Messages: 1,812
  Likes Received: 4,472
  Trophy Points: 280
  Dah umemaliza kila kitu respect
   
 11. Maserati

  Maserati JF-Expert Member

  #550
  Mar 15, 2017
  Joined: Jun 15, 2014
  Messages: 11,124
  Likes Received: 18,013
  Trophy Points: 280
  We s umeuliza? Na yeye kakujbu amtimue bashite ziro
   
 12. R

  Rwazi1 JF-Expert Member

  #551
  Mar 15, 2017
  Joined: May 3, 2013
  Messages: 378
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  Alaf wanyonge ndo wanakuweje. Hiz kauli zinachosha sasa. Ukute umemaliza la saba na kichwan uko hivi!!
   
 13. 28mkorinto

  28mkorinto JF-Expert Member

  #552
  Mar 15, 2017
  Joined: Aug 20, 2016
  Messages: 416
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 60
  Hats wasio soma anatoa ajira pia we we tu huoni bashite raisibwa dsm
   
 14. Mlyuha

  Mlyuha JF-Expert Member

  #553
  Mar 15, 2017
  Joined: Apr 27, 2015
  Messages: 238
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
   
 15. Manchris Jbisd

  Manchris Jbisd JF-Expert Member

  #554
  Mar 15, 2017
  Joined: Apr 9, 2013
  Messages: 693
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 80
  Itaonesha tu amri ya mkuu haina exception.
   
 16. M

  Maua kilasa JF-Expert Member

  #555
  Mar 15, 2017
  Joined: Aug 6, 2016
  Messages: 1,040
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Mimi ningempenda na kumtambua ni mtu wa wanyonge kama angefungia kiuno shida ya maji nchi nzima. Hili ni tatizo kubwa na ni ngumu sana kufanikisha.
   
 17. halloperidon

  halloperidon JF-Expert Member

  #556
  Mar 15, 2017
  Joined: Feb 16, 2015
  Messages: 1,812
  Likes Received: 4,472
  Trophy Points: 280
  Arudishe na viroba alosto zitatuua
   
 18. u

  username1 Senior Member

  #557
  Mar 15, 2017
  Joined: Jan 14, 2016
  Messages: 191
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
  Kwanza aziamuru wizara zake zote zitoke katika majengo ya vyuo maana. Katika usanifu majengo hutegemea Sana matumizi sasa yale majengo hayakusanifiwa Kwa ajili ya ofisi bali n Kwa ajili ya vyuo
   
 19. Yiyu Sheping

  Yiyu Sheping JF-Expert Member

  #558
  Mar 15, 2017
  Joined: Jun 21, 2016
  Messages: 1,714
  Likes Received: 803
  Trophy Points: 280

  Wewe huoni kuwa imani kwa muongoza imepata msukosuko. Au mna amini kuwa wote wanaolipigia kelele hili suala hapa ni wauza unga, wavivu, wenye wivu, husuda, wapinzani and the like? Kama hapo awali ufafanuzi ulitolewa kwa hoteli meneja kuhusu jina na vyeti vyake, kwa nini sasa iwe shida? Ni ugumu gani umetokea kipindi hiki? Je mmepima demage ya serikali katika kulizibia masikio na kulifumbia macho hili hasa huko mbeleni?  Na washawasha!
   
 20. Izc

  Izc JF-Expert Member

  #559
  Mar 19, 2017
  Joined: Aug 4, 2015
  Messages: 543
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 80
  Mkuu jambo unalolisema ni kweli kabisa kuwa lazima RC aondoe utata kuhusu vyeti vyake au awajibike kwa endapo itabainika ameghushi vyeti. Binafsi sifurahishwi na huu u-double standard ila hoja inabaki pale kuwa, je, hili swala la vyeti linagusa vipi changamoto za kimaisha za watanzania wanyonge?
   
 21. Shindu Namwaka

  Shindu Namwaka JF-Expert Member

  #560
  Mar 19, 2017
  Joined: Sep 22, 2014
  Messages: 4,815
  Likes Received: 2,925
  Trophy Points: 280
  Apige Tena Pushap
   
Loading...