Toka kwa Wana JF kwenda kwa Watanzania

Amanikwenu

Senior Member
Dec 1, 2009
187
0
Habari za mchana,

Mwaka 2010 ndiyo huo. Je Watanzania wategemee nini toka kwetu na nini hasa tunawaahidi kwa mwaka huu?
 
Hivi huyu aliyeleta ujumbe huu anajua kwamba hakuna tofauti kati ya Mbunge huyo anaitwa Mkono na Raisi wao?
Wakati wa kampeni nakumbuka kulikuwa na ile dhana ya mafiag matatu. Leo hawa wananchi wanaona figa moja hawaliitaji maana wanadhani mafiga mawili ndio yalipika chakula na moja likategea na kusababisha ugali usiive. Kwi kwi kwi kwi kwi sasa wanaposema watampa kura raisi ili amalizie muhula wake si bora wampe na huyo mbunge amalizie naye muhula wake?
Hizi siasa za maji taka zitaendelea mpaka lini?
Kama wana malalamiko ya maendeleo basi kikwete anahusika naye wasimpe kura. Lakini wakimpa tu wamefulia.
 
wamefulia na maji taka?
 
bado kwanza...uchaguzi ukikaribia ndio umeme, maji na reli vitatengamaa kwa muda....pigia kura ccm...
 
Back
Top Bottom