Elections 2010 Toka kwa mwenzetu, mpole, mwadilifu, mbarikiwa na mpenda JF kwa moyo - Masanilo

Muadilifu kwenye kundi la wachafu ?


Dr slaa na wapuki ?

MWP,

Dr Slaa ni mchafu?
Ni nani aliye msafi CCM (weka EPA, Richmond, TRL, BoT, Dowans, Buzwagi, IPTL, Bulhanhulu, etc wakati ukijiandaa kujibu swali lako).
 
Mchungaji nimesoma ujumbe wako umetulia, nafikiri hata yeye ameupata ila Nakaaya hatakuelewa leo mpe muda say baada ya mwaka mmoja ndipo atatambua uzito wa ujumbe wako. Kurudi kwao CCM Kiyabo, Nakaaya and alike si kuwa wanakipenda chama ila ni kwa mapenzi ya pesa, na hii ni hatari sana ni sawa na kuuza utu wao. Siri moja ya kijeshi ni heri kuwa na jeshi la wanajeshi 10 wenye moyo wa kweli kuliko kuwa na 1000 wasiotaka kupambana (traitors). Soma huu ujumbe wa Dr. Slaa toka kwenye web yake.

Dr. Wilbrod SlaaWana Chadema na Watanzania wasisikitike au kukata tamaa baadhi ya watu waliokuwa kwetu wanapoamua kuondoka. Mapambano haya si kwa watu wenye mioyo myepesi au wasioweza mbio ndefu. Hizi ni mbio ndefu zinazohitaji ukomavu, uthabiti, na ujasiri wa moyo. Hivyo tutawaacha wengi njiani, na wengine watajiunga nasi! Vyovyote i...takavyokuwa wapo ambao tutafika nao mwisho wa safari. Tuunge mkono!
 

Kama kweli Mil 30 alizoahidiwa mwisho wa Kampeni kama wale wasanii wenzake, walio kwenye kampeni za CCM, ndicho hasa kilichomtoa CHADEMA basi siasa hatoziweza maana akipewa dhamana yuko tayari kuuza hata uhuru wetu.

Hizi helza zinazogawiwa na CCM kama free samples ndizo zilizoangusha thamani ya TSh baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 na zitazidi kuiporomosha zaidi baada ya uchaguzi huu kwa vile zinatokana na njia haramu. CCM wanazipata bila kuzalicha chochote, na kuzitawanya mitaani kiasi kuwa kunakuwa na hela nyingi mitaani kuliko thamani ya uchumi wa nchi, hivyo shilingi ibaidi iende bondeni ili kubalance uchumi na mzunguko wa hela.
 
Back
Top Bottom