Toka Harmonize aondoke Wasafi nyimbo za Diamond zimekuwa na tungo za kawaida sana kama sio mbaya. Ni kweli Harmonize alikuwa mwandishi tegemeo?

mbutamaseko

JF-Expert Member
Nov 20, 2018
735
1,050
Ukifuatilia kwa makini utagundua tu hili. Tazama mashairi ya wimbo kama I miss u wa Diamond unauona kabisa uandishi wa Harmo. Cheki na nyimbo zingine kabla ya harmo kuondoka! Leo unakuja kuimbiwa wimbo kama gere melody mbaya, mashairi ya kawaida sana na ndio maana ulidumu kwa Sikh tatu tu.

Angalia wimbo wa JEJE haya Monday mwenyewe hajui maana ya jeje. Ndani ya wimbo jamaa anamini kuimba matusi ndio kunam bust mashairi ya kitoto sana hayana maneno ya kumfikirisha mtu. Ludi kwenye nyimbo kama baba lao au kanyaga. Yaani mashairi ya kawaida sana sema wanayaforce masikio ya watu kuyasikiliza kwa muda mrefu dakika za mwisho zinaishia kuwa nyimbo za watoto....

Nahisi uwepo wa Tembo pale ulikuwa na msaada mkubwa sana kwa Mondy kiuandishi. Na ndio maana haya huyu Zuchi katoka kikawaida sana, kakosa mwandishi japo ni mkali sana wa kuimba.

Amino nakwambia kama harmo angekuwa bado yuko pale Zuchi angetoboa mapema sana ila kwa sasa itabidi itumike nguvu kubwa sana kama iliyotumika kwa Mboso alafu watu wanakuja kumuelewa baadae.

Povu ruksa ila tazama kwa jicho la Muziki utaona.
 
Chuki ni mbaya sana.. hivi unajua kama i miss you ulikuwepo hata kabla Harmo hajaingia WCB??

Btw mimi binafsi naona Harmo ndio kashuka sana kiuandishi .. ukimfananisha Harmo wa Atarudi (hii ni ngoma na nusu) na huyu wa uno sijui haujanikomoa utaona kuna tofauti kubwa sana..

Hata hii album yake kuna nyimbo mbii tu kaandika vizuri (mama na mpaka kesho) nyingine ni takataka kabisa ndio maana album imebuma.
 
Chuki ni mbaya sana.. hivi unajua kama i miss you ulikuwepo hata kabla harmo hajaingia WCB??

Btw mimi binafsi naona Harmo ndio kashuka sana kiuandishi .. ukimfananisha harmo wa Atarudi (hii ni ngoma na nusu) na huyu wa uno sijui haujanikomoa utaona kuna tofauti kubwa sana..

Hata hii album yake kuna nyimbo mbii tu kaandika vizuri (mama na mpaka kesho) nyingine ni takataka kabisa ndio maana album imebuma.
Kimsingi hata sijajua kwani ametoa album?
 
Mbona harmo mwenyewe hana mashairi ya kueleweka
Huwezi kulinganisha na anachoimba Mondy , Mondy Mondy ikitokea msanii wake ametunga ngoma Kali ni lazima iwe yake na ufunge mdomo wako labda akikuheshimu kdgo atakushirikisha... Angalia ngoma kama "wenye wivu wajinyonge" lilikuwa ni wazo na ngoma ya Vany boy pia iyena iyena na nyingine nyingi.

Nyimbo zote Mondy alizoshirikishwa kimataifa Yale mashairi ni utunzi wa Harmo akishirikiana na Vany boy ,Mondy ni kidogo sana. Cheki yope asilimia kubwa alipoimba Mondy ni uandishi wa Vanny haya mile kipande cha " tunanyapia nyapia" sikiliza vizuri ni sauti ya Vany boy na sio diamond. Ila wimbo ni enos b ft diamond
 
Huwezi kulinganisha na anachoimba Mondy , Mondy Mondy ikitokea msanii wake ametunga ngoma Kali ni lazima iwe yake na ufunge mdomo wako labda akikuheshimu kdgo atakushirikisha... Angalia ngoma kama "wenye wivu wajinyonge" lilikuwa ni wazo na ngoma ya Vany boy pia iyena iyena na nyingine nyingi. Nyimbo zote Mondy alizoshirikishwa kimataifa Yale mashairi ni utunzi wa Harmo akishirikiana na Vany boy ,Mondy ni kidogo sana. Cheki yope asilimia kubwa alipoimba Mondy ni uandishi wa Vanny haya mile kipande cha " tunanyapia nyapia" sikiliza vizuri ni sauti ya Vany boy na sio diamond. Ila wimbo ni enos b ft diamond
Mashairi ya maana ya MBAGALA ,MOYO WANGU NA NATAKA KULEWA unaweza yafananisha na uno ?
 
Kweli Diamond ni staa na ataendelea kua staa maana hakauki kidomoni kwa watu...Chuki itakua...Harmonize alikua dabliyusibii 2015 ila kabla ya huo mwaka Diamond alitoa ngoma kali hajawahi toa mpaka sasa cheki hapa baadhi mshamba we.
Mbagala
Kamwambie
Nitarejea
Pete
Lala salama
Kesho
Moyo wangu
Mawazo
Nataka kulewa

Hizo chache nilizokumbuka kwa haraka huyo harmonize hana mashairi ya maana kumzidi Diamond wa kipindi hicho acha hisia za chuki . Nakumbuka kanumba enzi za uhai wake watu walimbeza sana alienda South Afrika akashindwa kuongea lugha watu wakamkashifu ila alipokufa leo watu ndo wanaona thamani yake.Diamond ndo Giant wa bongo flavour kwa sasa kuna mahala mziki huu ameufikisha ana hitaji respect na sio masimango maisha yake binafsi hayatuhusu sawa na marehemu kanumba nje ya uigizaji nani angeweza amini alikua anatembea na kitoto chini ya miaka 18?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mashairi ya maana ya MBAGALA ,MOYO WANGU NA NATAKA KULEWA unaweza yafananisha na uno ?
Zamani siku izi anachoimba akieleweki, Mond wa MBAGALA,MOYO WANGU,MAWAZO,NANA siyo huyu mzee akili imechoka

ameshajua mashabiki wake wanapenda nyimbo za matusi anachofanya ni kuleta misemo mipya ya matusi laizer anapiga beat ngoma inapanda hewani
 
Yani unataka kusema,wakati ule Diamond hajakutana na Harmonize hakuwa mtunzi mzuri.???? Nenda kamwambie, Nataka kulewa, Ukimwona, Moyo wangu, Nimpende nani, Kesho....nk, zote hizo alitungiwa na Harmonize.??? Yan hakuwa msanii mzuri mpk pale alipokutana na Harmo.???
Tuambie nyimbo gani yenye Mashairi mazuri amby Konde ameshatoa tangu atoke WCB, ukiachana na ile album yake ambayo ni utoko tu..!!
 
Ukifuatilia kwa makini utagundua tu hili. Tazama mashairi ya wimbo kama I miss u wa diamond unauona kabisa uandishi wa Harmo. Cheki na nyimbo zingine kabla ya harmo kuondoka!!! Leo unakuja kuimbiwa wimbo kama gere melody mbaya , mashairi ya kawaida sana na ndio maana ulidumu kwa Sikh tatu tu. Angalia wimbo wa JEJE haya Monday mwenyewe hajui maana ya jeje. Ndani ya wimbo jamaa anamini kuimba matusi ndio kunam bust mashairi ya kitoto sana hayana maneno ya kumfikirisha mtu. Ludi kwenye nyimbo kama baba lao au kanyaga. Yaani mashairi ya kawaida sana sema wanayaforce masikio ya watu kuyasikiliza kwa muda mrefu dakika za mwisho zinaishia kuwa nyimbo za watoto.... Nahisi uwepo wa Tembo pale ulikuwa na msaada mkubwa sana kwa Mondy kiuandishi. Na ndio maana haya huyu Zuchi katoka kikawaida sana, kakosa mwandishi japo ni mkali sana wa kuimba, Amino nakwambia kama harmo angekuwa bado yuko pale Zuchi angetoboa mapema sana ila kwa sasa itabidi itumike nguvu kubwa sana kama iliyotumika kwa Mboso alafu watu wanakuja kumuelewa baadae..... Povu luksa ila tazama kwa jicho la Muziki utaona
Umeongea kitu kikujawa sana mkuu Tunaojua mziki tumekuelewa, Washabiki wa INAMA NIPACHIKE RUNGU hawawezi kukuelewa.
 
Kweli Diamond ni staa na ataendelea kua staa maana hakauki kidomoni kwa watu...Chuki itakua...Harmonize alikua dabliyusibii 2015 ila kabla ya huo mwaka Diamond alitoa ngoma kali hajawahi toa mpaka sasa cheki hapa baadhi mshamba we.
Mbagala
Kamwambie
Nitarejea
Pete
Lala salama
Kesho
Moyo wangu
Mawazo
Nataka kulewa

Hizo chache nilizokumbuka kwa haraka huyo harmonize hana mashairi ya maana kumzidi Diamond wa kipindi hicho acha hisia za chuki . Nakumbuka kanumba enzi za uhai wake watu walimbeza sana alienda South Afrika akashindwa kuongea lugha watu wakamkashifu ila alipokufa leo watu ndo wanaona thamani yake.Diamond ndo Giant wa bongo flavour kwa sasa kuna mahala mziki huu ameufikisha ana hitaji respect na sio masimango maisha yake binafsi hayatuhusu sawa na marehemu kanumba nje ya uigizaji nani angeweza amini alikua anatembea na kitoto chini ya miaka 18?.

Sent using Jamii Forums mobile app
MUONGEZE NA HIZI..

Binadamu wabaya

Nalia na mengi

Kipofu

Nimpende nani

Kizaiza

Namba one

Mdogo mdogo

Nitampata wapi
 
Mleta uzi ni chizi hata msihangaike nae, ikiwa mondi kajulikana dunian kabla hata mmakonde kujiunga wcb je nani alitunga hizo nyimbo??

Nyie ndo mnampoteza harmo kwa kumpa sifa za kijinga, saivi anastress album hakuna ilichofanya alafu mnampigia mapambio badala yakumshauri atulizane aandike nyimbo nzuri ateke mashabiki

Nakwambiaje tangu atoke wcb harmo kawa garasa kupita kiasi na ashaanza kujuta na asipoangalia atapotea, miluzi mingi humpoteza mbwa porini ndicho anachopitia

Yeye alivoambiwa kuanguka alidhan labda itatokea siku1 tu, no anadrop taratbu maana upande wa pili kumejaa unafiki mwingi kuliko support ya kweli na ndicho kilichompata hata mavoko
 
Back
Top Bottom