Toka amerudi mtazamo wa lugha ya mwili bado hayuko sawa

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Dqh6OaSWsAEXzxy.jpg

Huyu jamaa kila nikiangalia picha zake toka amerudi naona kabisa bado hayuko sawa kwa mtazomo wa lugha ya mwili au body language ...anahitaji msaada wa kisaikolojia......Mungu na amsadie tu
 
He got money , why not take a sabbatical leave and go to Bahamas, Maldives, Swiss and enjoy , life is too short .

Yes he's got money.

But it depends on whether he has that money with him or not.
 
nasikia kuna pande kubwa la ardhi huko rufij wamiliki wake walikuwa wanachelewesha kuanza mradi ila shukuru mungu contract na wamisri imesaiiniwa last week stiglers gorge kazi inaanza no vikwazooooo
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom