Togwa ya mtama....magae


KYALOSANGI

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Messages
2,203
Points
2,000
KYALOSANGI

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2011
2,203 2,000
Hivi kuna sehemu naweza kupata togwa ya mtama hapa dar ,kinywaji hiki maarufu kama magae huku kwetu iramba kina wafaa sana watu wa mjini mnaoshinda kazini bila kula kwani ukinywa glass mbili unaweza kupiga mzigo siku nzima
 

Forum statistics

Threads 1,284,769
Members 494,236
Posts 30,839,242
Top