Naomba tofauti ya misamiati hii

Subira, hali ya kusubiri jambo fulani kytokea.

Uvumilivu, inahusiana na kuweza kustahimilu shida au mateso.

Shaka na mashaka, zote zina maana moja.

Jeuri, kama mbishi kutekeleza jambo fulani.

Kiburi, inahusiana kuwa na hasira pia dharau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom