tofauti ya wao na sisi ni hii apa,african tubadilike

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
356900_berlin_jpg2bc37750a9e9f7fe54303e1f9490e2ac.jpeg

apa ni airport mzungu anasoma kitabu akisubiria ndege
 
wanakula net at a freelance, pale Jomo Kenyata ipo lakini kimizengwe, haka JK Nyerere nehi
 
Wao wanakwend na muda,kama ndege ni saa fulani basi on the dot watu mna board safari inaanza,sasa bongo huku hata ratiba haieleweki ndiyo maana mnaweza wekwa masaa ma3 reporting room mnang'aa sharubu tu sasa kwanini nisilale kama nimechoka?
 
Mtanzania anawaza wazazi wake kijijini, ada ya watoto, nyumba ndogo, kodi ya nyumba, uchaguzi mkuu 2015, nk. nk. muda wa kusoma kitabu utatoka wapi? hata akiwa na muda hatakuwa na mood.
 
Back
Top Bottom