Tofauti ya vijiji

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,605
8,744
Wazazi wangu wametokea sehemu tofauti kwa Mama yangu Kilimanjaro bibi yangu anakaa karibu na barabara ya lami, ana maji, umeme na nyumba ndogo ya matofali na haya yapo zaidi ya miaka 25 sasa. Kwa baba yangu vijijini lushoto rangwe hakuna maji, hakuna barabara hata ya ngeda, hakuna umeme ingawa ni kuzuri zaidi kimazingira, kwa kilimo na mambo mengine. Bibi yangu alivyoenda kwa babu zetu hakuamini kulivyo nyuma. Cha kushangaza ni kwamba watu wa kule bado wanasema CCM itawaletea mandeleo!! wakati kwa bibi yangu kumekuwa na upinzani kwa miaka zaidi ya kumi na tano kuanzia wakati wa Mrema. Maendelo gani bila shule, maji, umeme, barabara je serikali imefanya nini hasa bado nashangaa
 
Usitoke, wadau wa siasa wataingia hapa kujibishana kwa hoja ili kila mmoja atetee upande wake
 
CCM imewapumbaza wengi sana hapa Tanzania. Cha ajabu humu naona hadi watu wanaowapinga waasisi wa CCM lakni wakiipenda CCM.
 
Wazazi wangu wametokea sehemu tofauti kwa Mama yangu Kilimanjaro bibi yangu anakaa karibu na barabara ya lami, ana maji, umeme na nyumba ndogo ya matofali na haya yapo zaidi ya miaka 25 sasa. Kwa baba yangu vijijini lushoto rangwe hakuna maji, hakuna barabara hata ya ngeda, hakuna umeme ingawa ni kuzuri zaidi kimazingira, kwa kilimo na mambo mengine. Bibi yangu alivyoenda kwa babu zetu hakuamini kulivyo nyuma. Cha kushangaza ni kwamba watu wa kule bado wanasema CCM itawaletea mandeleo!! wakati kwa bibi yangu kumekuwa na upinzani kwa miaka zaidi ya kumi na tano kuanzia wakati wa Mrema. Maendelo gani bila shule, maji, umeme, barabara je serikali imefanya nini hasa bado nashangaa
Wazee wa vijijini ndio mtaji mkubwa wa ccm! M4C tafadhalini okoeni vijiji hivi vinavyoamini kwamba nyerere ni rais wa
Tanzania!
 
Back
Top Bottom