warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,379
Uhuru naona umezidi sana, na siku zote uhuru ukizidi sana Adabu hupungua, naona viongozi wengi sasa hivi wanajitutumua kila mtu anajionyesha yeye ndio yeye wakati kipindi cha Magufuli hawakua hivyo. Sijui ndio wanaita freedom of speech ila Naona hii freedom itatupeleka pabaya sana kama nchi.
Magufuli alikua ni kiongozi imara sana na mwenye mamlaka kama kiongozi, akisema kitu unaona kabisa raisi kasema, ila kama yetu Naona watu wanampanda sana kichwani, kila mtu anajifanya mjuaji, kila mtu anajifanya msemaji wa raisi.
Sina uhakika na hii nchi inapoelekea, Mungu azidi kutuongoza kwa kweli. Ki ukweli hii nchi ilifaa mtu mahiri na mwenye misimamo mikali kama Magufuli, mtu asiyeyumbishwa hovyo na misimamo yake.