tofauti ya university,college,institute??

chrisman49

chrisman49

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Messages
725
Points
225
chrisman49

chrisman49

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2011
725 225
natanguliza much thnx!
 
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
14,477
Points
2,000
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
14,477 2,000
Why dont you take trouble and come with your findings! Acha uzembe
 
mathematics

mathematics

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Messages
3,306
Points
1,250
mathematics

mathematics

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2012
3,306 1,250
Institute ni chuo ambacho hutoa vyeti vyote kuanzia certificate , diploma , degree na masters na hata pengine phd lakini huwa based kwenye taaluma moja ya aina fulani tu, e.g engineering only , accounting only etc

University ni chuo na hutoa vyeti vyote kuanzia certificate , diploma , degree na masters, na pengine hata phd lakini huwa ina kozi mbalimbali sana zinazofundishwa hapo, engineering , accounitng , medicines , arts , education etc

College ni chuo chochote ambacho hutoa vyeti vyovyote kuanzia certificate tu, au certificate na diploma tu , au sana sana wakijtahidi mwsho ni degree na mara nyingi huwa ni kidogo kulinganisha na Institution or University.

Vilevile kimaana College hutumika kuelezea faculty ya University , au branch ya Institute au university.
 
kudos mkuu!
 
Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
4,443
Points
1,500
Age
33
Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2011
4,443 1,500
Institute ni chuo ambacho hutoa vyeti vyote kuanzia certificate , diploma , degree na masters na hata pengine phd lakini huwa based kwenye taaluma moja ya aina fulani tu, e.g engineering only , accounting only etc

University ni chuo na hutoa vyeti vyote kuanzia certificate , diploma , degree na masters, na pengine hata phd lakini huwa ina kozi mbalimbali sana zinazofundishwa hapo, engineering , accounitng , medicines , arts , education etc

College ni chuo chochote ambacho hutoa vyeti vyovyote kuanzia certificate tu, au certificate na diploma tu , au sana sana wakijtahidi mwsho ni degree na mara nyingi huwa ni kidogo kulinganisha na Institution or University.

Vilevile kimaana College hutumika kuelezea faculty ya University , au branch ya Institute au university.
Umetisha dogo!
 
S

Swat

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
4,200
Points
1,250
S

Swat

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
4,200 1,250
Institute ni chuo ambacho hutoa vyeti vyote kuanzia certificate , diploma , degree na masters na hata pengine phd lakini huwa based kwenye taaluma moja ya aina fulani tu, e.g engineering only , accounting only etc

University ni chuo na hutoa vyeti vyote kuanzia certificate , diploma , degree na masters, na pengine hata phd lakini huwa ina kozi mbalimbali sana zinazofundishwa hapo, engineering , accounitng , medicines , arts , education etc

College ni chuo chochote ambacho hutoa vyeti vyovyote kuanzia certificate tu, au certificate na diploma tu , au sana sana wakijtahidi mwsho ni degree na mara nyingi huwa ni kidogo kulinganisha na Institution or University.

Vilevile kimaana College hutumika kuelezea faculty ya University , au branch ya Institute au university.
Nime i google ipo kama ulivyosema mkuu. Kudos umefafanua vizuri kwa waliokuwa hawaelewi. At least you shows that you are a great thinker!
 
Forum statistics

Threads 1,285,254
Members 494,502
Posts 30,855,512
Top