Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

Umri mkipishana sana kat ya wapenz,madhara yake ni pamoja na yule mtu mwenye umri mkubwa sana huwa anamlazimisha mpenzi wake mdogo afanye kile kitu ambacho yeye anaona kinafaa,hivyo kupelekea kubuzwa kimaamuz kwa mtu mwenye umri mdogo,pia katika maswala ya ngono umri ukienda sana binadamu huwa anapoteza hamu ya tendon la ndoa hivyo kusababisha kutoridhishana kimahaba katika hali hii inasababisha michepuko kwa mtu ambaye anaumri mdogo ili akaridhishwe na vijana wenzake.
 
Tatizo Hapo Ni Huyo Mzee Kushiwa Kuhimili Vishindo Vya Huyo Binti, Hivyo Kusababishwa Bint Kutafuta Michepuko, Kwaajili Ya Kupata Ile Raha Ya Dunia.
 
Wewe oa tuu, madhara utayajua huyo mkeo atakapokuona wewe mzee na kuanza kujirusha na vijana wenzie.
 
Umri mkipishana sana kat ya wapenz,madhara yake ni pamoja na yule mtu mwenye umri mkubwa sana huwa anamlazimisha mpenzi wake mdogo afanye kile kitu ambacho yeye anaona kinafaa,hivyo kupelekea kubuzwa kimaamuz kwa mtu mwenye umri mdogo,pia katika maswala ya ngono umri ukienda sana binadamu huwa anapoteza hamu ya tendon la ndoa hivyo kusababisha kutoridhishana kimahaba katika hali hii inasababisha michepuko kwa mtu ambaye anaumri mdogo ili akaridhishwe na vijana wenzake.

Nadhani umeongea haya kwa mawazo yako binafsi bila kuangalia uhalisia, nikianza na la kwanza si kweli kwamba atamlazimisha bali atamuelekeza kwa sababu hata msemo wa kiingeleza unasema hivi( What the older can see while seated the younger cannot see even standing on his toes) kwa hiyo mkubwa vipo anavyoviona na kwakuwa huyu ni mke wake/mume wake ni bora kumuelekeza ili aenende vizuri maishani.
Pili suala la kwamba mtu akikua au kuwa mzee nguvu ya kufanya tendo la kujamiiana inapungua au kwisha nalo si kweli kwani hapa inategemea ujana wako uliutumiaje, kama ulikuwa unafanya ngono sana au kujichua, au ulevi wowote hule lazima nguvu zitakuishia kabla hata ya kuzeeka. Siku hizi kuna pia tatizo la vyakula pamoja na mavazi tunayovaa na muda tunaovaa kunachangia kumalizika nguvu ndio maana hata kwenye mtandao huu malalamiko ya wapendanao kushindwa kumalizana kiu yanasomeka kila mara. Watu wana nidhamu ya maisha wanakula mlo kamili wnakunywa maji ya kutosha wanapata usingizi wa kutosha wanaoga maji safi na sabuni salama na pa kulala ni pasafi sio gheto au sebreni kwa anko, unategemea wazeeke wakose nguvu za tendo?!

Mimi kama ningekuwa na mtoto wa kike anataka kuolewa akaniomba ushauri, ningemwambia azingatie suala la umri sana katika kuchunguza mume atakayemfaha maishani.
 
Msipishane umri sana maana mtashindwa kuendena kwenye mambo mengi na mwisho itabidi mkubwa sana inabidi awe na pesa sana kumtuliza mdogo bila hivyo itakuwa hakua maelewano.
 
Mwanamke mara nyingi hupevuka miaka mitatu mbele ya mwanaume ni vibaya sanaa kumuoa mwana mke anaekuzidi umri au kulingana naye ni vizuri kumuoa mwanamke unaemzidi hata kwa miaka kumi naa kwani atakueshimu sanaa
 
Usikariri
 
minadhani kwa watu wengi sikuizi umri sio issue sana hasa kwa wanaume mradi uko na pesa yakumuwezesha mke.. hata ukiwa na 50 na mke ana 20 sio neno as long as pesa ipo...
 
Ni kweli,umri sio kitu lakini hilo gap HAPANA.....unajikuta ukiamka asubuhi unamuamkia 'Shikamoo baby'
 
Ni kweli,umri sio kitu lakini hilo gap HAPANA.....unajikuta ukiamka asubuhi unamuamkia 'Shikamoo baby'

Na matunzo yanaendana na huo umri, yaani kila kitu kikubwa, basi haina shida shikaamoo natoa tu
 
Watu walio nje ya ulimwengu wa wapendanao hutumia akili na macho kuchambua ,kuumbua na kuhukumu kile wanachokiona.......lakini waliokuwa ndani ya ulimwengu wa mapenzi hutumia nyoyo na hisia zao za kimapenzi kuamua kwani macho yao tayari yameshatiwa upofu na nguvu ya penzi.....kwa kuwa kilichotokea ndani ya nyoyo zao si kwa matakwa yao wala upeo wa akili zao bali kwa uzito wa pendo baina yao............
 
aaaah kama ndonga iko mshazari poa tu,umri kitu gani bhana cheki daidomo na zari wanagongana mpododo tu umri tupa kuleeee!!ndoa itajijua kudadadeki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom