Tofauti ya umri katika mahusiano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti ya umri katika mahusiano

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Iza, Oct 30, 2009.

 1. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,821
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hivi ni lazima wanaume wawazidi umri gf/wake zao? Je, wanawake wawazidi wanaume umri gani ili at least ionekane pouwa...(exclude shugamamii)?
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,194
  Likes Received: 3,127
  Trophy Points: 280
  Umri ni namba tu!

  Mamia ya watu walihudhuria sherehe za harusi ya mzee Ahmed Muhamed Dore mwenye miaka 112 akiaoana na binti aitwaye Safia Adulleh mwenye miaka 17.

  "Leo Mungu ameniwezesha kufikia ndoto yangu" alisema mzee Ahmed Muhamed Dore baada ya kuoana na binti mbichi kabisa kutoka maeneo ya Galguud huko katikati ya Somalia.

  Mambo yanayovutia kuhusu hii ndoa:
  Wanafamilia wa binti wanasema binti yao amefurahi kupata mume.

  Bwana harusi alikuwa anasubiri kwa karibu zaidi binti aendelea kukua hadi amshauri waoane bila kumlazimisha bali kumvutia kwa upendo ili waoane.

  Ni ndoa ya aina yake kwenye eneo ya Horn of Africa kwa babu miaka 112 kuoana na binti wa miaka 17.

  Wapo watu ambao hawaridhiki na tofauti ya umri ingawa katika sheria za kiislamu inaruhusiwa.

  Wapo waliofurahi na kukiri kwamba umri si kizuizi linapokuja suala la ndoa na kupendana.

  Bwana harusi tayari ana watoto na wajukuu 114 huku motto wake wa kwanza akiwa na miaka 80.

  Bado anaamini huyu mke mpya ataendelea kumzalia watoto.

  Zaidi anakiri kwamba ni Baraka sana kuwa na mtu unayempenda na akaendelea kukutunza.
   
 3. annamaria

  annamaria Senior Member

  #3
  Nov 3, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  makubwa!
  kisa cha kuchukua kibabu kikufie kiunoni?
   
 4. kui

  kui JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2009
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,482
  Likes Received: 5,140
  Trophy Points: 280
  LOL!, LOL!,

  Umenifurahisha annamaria!
   
 5. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2009
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  du! avata na jina lako vinaendana na hisi kama picha yako vile
   
 6. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Hata kama age is just a number, lakini hii ni funga kali. Huyo mzee sidhani hata kama shughuli ataiweza.
   
 7. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Labda ndiyo anataka kumpa zawadi ya kufia kiunoni?
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,534
  Likes Received: 21,016
  Trophy Points: 280
  Wanawake wa mjini wana msemo wao...
  Wanasema....suruali uvae na nani,msuli uje uvae kwangu...
  Ha ha ha ha.umri wa huyo babu nahisi ni nepi tena sio msuli.
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Kama kibabu kipo mambo safi binti anaangalia tu urithi hapo hakuna true love wala habari yake
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,610
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Naomba kuku uuliza annamaria . Je wewe umeolewa? unamvuto inaelekea, ila mimi siyo kibabu..............
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,596
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  jamani vibabu vingine hatari kweli! mi nakajua kababu kamoja kanapeleka moto balaa!! japo hakajafikisha 100, kapo kwenye 89 hivi.
  moto wake hata wapwa na mawifi wa xspin wanaweza wakafika.
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Nov 4, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,040
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Huyo babu lazima atakuwa anamegewa huyo mke wake na vijana mtaani
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Nov 4, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,596
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  AnnaMaria yulee wa moro au?
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Nov 4, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,040
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Wazee mmeshaanza mashambulizi mara!
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Nov 4, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,040
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Ila usikidharau, vibabu vya hivyo huwa vina viagra za kienyeji, unaweza ukakuta huyo binti ndio akafa badala ya huyo mzee.
   
 16. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2009
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,710
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Nawasiwasi na huyo babu ukute ni kasangoma kamepeleka mashambulizi kwa kabinti ka watu na familia yake wawe wanamuona ni kijana wa miaka 22 kumbe ni kikongwe hasa.
  Kweli hainiingi akilini kabisa eti miaka 112-17..mmmh hapo pana kakitu sio kwa mapenzi ya mungu hayo mapenzi ya sangoma tu. Hata kama anatumia viagra bado haijaingia akilini mwangu kabisa
   
 17. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #17
  Nov 4, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,610
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ng'ombe hazeeki maini
   
 18. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Hapendwi mtu hapo ni POCHI tu!! kama yule mwanamama Anna Nicole alivyochemka na kibabu millonaire kule marekani!!
   
 19. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,981
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0


  jamani taratibu, umejuaje kama kanapeleka kama unavyosema au wakiingia ndani ni kumchezea tu, anaweza akawa na mlolongo lakini hakuna matendo....89 bado awe anahimili unavyodhani?
   
 20. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,610
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Usidharau vibabu vinapigiza mashine kama cherehani, unaweza ukatoka na kagagulo kako mkononi nduki !
   
Loading...