Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

Niliwahi kuanzisha thread ya the same topic...thou haikuwa ikinihusu mimi directly. Otherwise,Kinacho matter ni mapenzi ya dhati mioyoni mwenu...mnapendana? That's it....Age aint nothin but a number!!
na mvuto nao hupungua.
 
Binafsi mwanamke anayefaa huwa nampima kwa kukata mauno viuno & kitu kutait. Kuhusu umri nshatupa kule long.
 
Niliwahi kuanzisha thread ya the same topic...thou haikuwa ikinihusu mimi directly. Otherwise,Kinacho matter ni mapenzi ya dhati mioyoni mwenu...mnapendana? That's it....Age aint nothin but a number!!

We mdanganye tu mwenzio,halafu akifika miaka 40 mkewe ni bibi
 
Umri si kigezo kikubwa sana unapotaka kuoa/kuolewa. hata kama kakuzidi umri lakini mnapendana na kuheshimiana na umeridhika nae wewe muoe. kama ni mkristo soma Mithali 18:22, mithali 19:14 na mithali 31 kuanzia mstari wa 10 hadi mwisho.
kuwa muangalifu na ushauri unaopewa na watu mbali mbali, unaweza kukukosesha mke mwema

Na kama muislam je asome wapi? Consider na biological factor ndugu shauri zako
 
aisee inabidi uwe na true love coz hiyo point ya mwanamke kuzeeka fasta kuliko men ni ya kweli,mshua wangu kamzidi maza miaka kumi lakini ukiwacheki utafikiri ni age mates.usije ukamtesa baadaye kwa kutafuta vimada wadogo wadogo
 
Habari zenu wakuu! Baada ya kuhangaika muda mrefu kutafuta mtu anayefaa kuwa mke hatimaye nimenasa kwa binti ambaye tuko sawa kiumri. Kinachotokea, wengi wamekuwa wakinidiscourage kuoa binti ambaye niko naye sawa kiumri kupitia maongezi ya kawaida{sijawaambia kama nina hilo kusudio}. Huyu binti nampenda na naamin ananipenda, pia yuko siriaz na maisha. Wadau naomba ushaur wenu, kwan bado hatujafika mbali.

.....Mkuu usije ukajuta kama utaamua kumpotezea huyo mdada mliyependana. Kuoa unaoa kwa ajili yako huowi kwa ajili ya Wazazi wako, Ndugu jamaa au marafiki. Mke na mume kuwa na umri sawa hata siku moja si tatizo kama kuna mapenzi ya kweli kati yenu na wote mnapendana kiasi ambacho hamuoni tatizo la kufunga pingu za maisha. Ukimuacha huyo inaweza kukuchukua muda mrefu sana hadi kumpata mwingine ambaye utakuwa tayari kumuoa na ukumbuke umri nao haukusubiri. Kila la heri katika kufanya maamuzi magumu.
 
kuna ukweli ndani ya maneno yako, nashukuru mkuu
 
Mfaza umri sio tatizo point ya msingi ni upendo wa dhati baina yenu, ndoa ina mambo mengi kaka upendo wa dhati ndio utakaokuwezesha kuvuka changamoto zote, kaka nilishawahi kumwacha bint kwa sababu ya kuwa na umri sawa sasa hivi najuuuuta kama sio kulia!!
 
ujowhile mputi, ndaga fijo
 
Mapenzi hayajali umri elimu wala kabila. Chukua ngoma na utugune mradi awe anakupenda vilivyo na kukufaa nawe kumfaa.
 
aisee inabidi uwe na true love coz hiyo point ya mwanamke kuzeeka fasta kuliko men ni ya kweli,mshua wangu kamzidi maza miaka kumi lakini ukiwacheki utafikiri ni age mates.usije ukamtesa baadaye kwa kutafuta vimada wadogo wadogo

kila k2 matunzo 2 kinapendeza mimi wazazi wangu wamepishana miaka minne ila ukimuona mama yangu na mimi utafikiri m2 na dada yake na wanamuuliza baba mbona mke wako mdogo,ni matunzo 2,
 
nipo matatizoni,yaani imetokea nimempenda mwanamke anayenizidi miaka 8 jamani,mimi ni 38 na yeye ni 46,ana watoto lakini hana mume,nifanye nini manake moyo wangu umeshamwingiza ndani?ni msomi ana hana majivuno kabisa,sio beautify lakini ni intelligent,hana dharau kwa sababu akinitembelea nyumbani kwangu ambako ni madongo kuinama haonyeshi dharau hasa ukizingatia anakoishi ni tofauti kabisa na ninakoishi,nifanye nini manake nikiendelea naye nahisi kumpenda zaidi manake ana kila kitu ninachoitaji kwa mwanamke hasa characters!
 
mkuu unataka piece of mind au unataka umri??kama umeona anakupa amani ndani ya roho yako na una furaha kuwa naye andelea tu hakuna shida,tunaishi mara moja tu hakuna haja ya ku complicate maisha
 
Isije ikawa ni mhemuko wa kufanya nae mapenzi tu!..maana kawaida mwanaume haoni ubaya wa mwanamke hadi amfanye!
Isije kuwa ukishatimiza tamaa zako na kuanza kuiona tofauti hiyo ya umri kwa mapana zaidi.
 
shem we bana....
 
Usiusemee moyo! wewe unataka dogodogo ambaye akili inachemka ili akuchemshe kisawasaswaee..waulize wenye uzoefu hapa vichwa vinavyowauma..kuhusu hizi damu changa...
 
Isije ikawa ni mhemuko wa kufanya nae mapenzi tu!..maana kawaida mwanaume haoni ubaya wa mwanamke hadi amfanye!
Isije kuwa ukishatimiza tamaa zako na kuanza kuiona tofauti hiyo ya umri kwa mapana zaidi.

Best leo ulikoamkia sijui ndio utakakolalia...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom