Tofauti ya trector za kichina na hizi massey ferguson john deere.... ni ipi hasa!!

sosssy

JF-Expert Member
Nov 17, 2017
668
534
habar wadau , habari za sikunyingii
hatimae JF yetu imerudiii

twende kwenye mada wakuu.

binafsi nimekua nina interest kubwa ya kumiliki trector walau 2 tu while nikifanya mishe mishe zangu town naamini ntafika ninapo pata kwa haraka zaid sas shida ni kuusu hizi trector za kichina hivi zina tatizo gan mana ni cheap sana.. unakuta trector ina uzwa us dolla 3500 na trector ni mpya yaan 0 kilometer 4wd hp 85 hapo hapo ukija upande wa pili huku kwa kina john deere trector 4wd hp 85 bei yake hugusii yan ni pesa ndefu ambayo kwa usawa huu wa magu kijana kama mimi kupata hio pesa inakua ni mazoeziii

ombii kwa wataalam tofaut hasa ni ipiii
kwan hizi trector za kichina haina uwezo kwa kulima walau eka 15 per day??

mana izo massey zipo naziona mtandaon had dollar 3500 sas shida ni kweli zinauzwa bei hio mana USA ni mbali na actually siamini hizi mitandao
IMG_5668.JPG
IMG_5667.JPG
IMG_5666.JPG

izi massey ni bei yke kwel au fixx binafs nilifikilia nikanunue tu trector za kichina mana ni cheap sanaaa

naomben ushauli kabla cjapotea wadau...
 
Kwa uzoefu wangu, wa miaka miwili na John Deer na kilimo kwa ujumla.

Ni hivi, wakulima hununua trekta kwa mkopo yaani mfano kama gharama halisi ni mil 40 mkulima analipa 10 au 15 hivi then trekta inafanya kazi na kujilipa yenyewe.

lakin pia unaweza ukapata trekta John Deer used hata kwa mill 10 tu hadi 8.

muhimu uwe na fundi mzoefu akukagulie

John Deer 2130 ndiyo nzuri achana na hizi mpya.

pia New Holland na Swaraji na Maasay za Mwingereza.

pita mbali na Farm Truck, John Deer New model za india. Achana kabisa na Maasay ya pakistan au matrekta ya mchina.

ila ukipata ford au Fiat ziko poa.

Ila John Deer 2130 old model, Fiat na New holand ni kiboko yao.

So si lazima kununua mpya na si lazima kununua kash kama bomba dia
 
nimekupata ndugu sas hizo john deere used nawaza kuzipata wapiii hapa hapa bongo??
yan inakua imetumia uk au wap mkuu
 
bei za wachina wanazoziweka katika mtandao wao wa alibaba hazina uhalisia. iyo tractor ya $3500, ukiwaambia wakupe invoice mpka inafika dar es salam port utaskia ni $20000

duhhh
 
bei za wachina wanazoziweka katika mtandao wao wa alibaba hazina uhalisia. iyo tractor ya $3500, ukiwaambia wakupe invoice mpka inafika dar es salam port utaskia ni $20000

inakua hivyo ata nikifata mwenyew na kusafilisha navyo jua??
 
N
habar wadau , habari za sikunyingii
hatimae JF yetu imerudiii

twende kwenye mada wakuu.

binafsi nimekua nina interest kubwa ya kumiliki trector walau 2 tu while nikifanya mishe mishe zangu town naamini ntafika ninapo pata kwa haraka zaid sas shida ni kuusu hizi trector za kichina hivi zina tatizo gan mana ni cheap sana.. unakuta trector ina uzwa us dolla 3500 na trector ni mpya yaan 0 kilometer 4wd hp 85 hapo hapo ukija upande wa pili huku kwa kina john deere trector 4wd hp 85 bei yake hugusii yan ni pesa ndefu ambayo kwa usawa huu wa magu kijana kama mimi kupata hio pesa inakua ni mazoeziii

ombii kwa wataalam tofaut hasa ni ipiii
kwan hizi trector za kichina haina uwezo kwa kulima walau eka 15 per day??

mana izo massey zipo naziona mtandaon had dollar 3500 sas shida ni kweli zinauzwa bei hio mana USA ni mbali na actually siamini hizi mitandaoView attachment 800264View attachment 800265View attachment 800266

izi massey ni bei yke kwel au fixx binafs nilifikilia nikanunue tu trector za kichina mana ni cheap sanaaa

naomben ushauli kabla cjapotea wadau...
Nunua Massey trector alinunua Babu hadi leo kitukuu analitumiaaaaa
Acha na Chong huieeenyoooondddh
 
nimekupata ndugu sas hizo john deere used nawaza kuzipata wapiii hapa hapa bongo??..
yan inakua imetumia uk au wap mkuu
...

Ni used za hapa Tz, maana used ya nje ni risk bz si rahis Kuikagua, maana unatumiwa tu inakula kwako.

Fanya connection na wakulima na mafundi unapata fasta.
 
Hizi za mchina sio nzuri sana, chukua Trekta ya India au England utainjoy sana life
 
Massey utakaa nayo muda mrefu, spare zake ni nyingi na inachapa kazi
 
Hizi za mchina sio nzuri sana, chukua Trekta ya India au England utainjoy sana life

India labda Swaraj tu ina afadhali, ila Farm Truck au John Deer new model ni kichefu chefu. Hii John Deer ya India spea zinapatikana India. hapa Tz hamna. Pia mkono wake wa jembe ni mwembamba sana kukatika n rahisi hauna nguvu.

Watu wanakimbilia hiz John Deer maana kiukweli zina shape nzuri na njian zinakimbia lakin shamban kimeo.

Pia hazidumu, mwaka tu ubabadilisha spea.
 
tractor mpya pamoja na trailer lake, disc plough na hallow yake(complete) ni being gani

Tractor mpya zipo za aina nyingi na bei tofauti.

Bei inategemea ni trekta gan

Ni mara chache sana ukute mtu ananunua trekta, jembe na teller.

Teler zinatoka na trekta ni ndogo mno so hazipendwi.

Kwa mm siwez kujua bei ya trekta tela na jembe mpya.

Lakin Swaraji inaenda milion 25-30, New Holland mil 40. John Deer 2130 mil 105.

Hapo unaweza kuuziwa na jembe au bila jembe.
 
Back
Top Bottom