Tofauti ya switch ya kutumia ufunguo na ya kubonyeza

Ndio napendelea racing.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh kama mimi
Napenda sana kwenda kuangalia racing ingawa mida hii ni baridi sana
Huwa naenda miezi ya joto na mwezi wa sita huwa ni Japanese cars only hiyo ntaenda nikijaaliwa inafanyika Santa Pod
f32f1fa3d1b607789970b8d4044deab0.jpg

Sent from my SM using Tapatalk
 
Start stop system imeanza muda sasa kama miaka 10 iliyopita kwa baadhi ya magari. Na zingine zikifuatia kama Bentley ambao walianza 2016

Na magari mengi yana mfumo huu kwa sasa...
Niulize kitu kwa uzoefu wako ulaya. Kuna gari nimepata online London lakin malipo yake ni pay on collection. Je una ma agent reliable unawajua nilipe bila hofu ya kupigwa na taratibu za shipping.
 
Niulize kitu kwa uzoefu wako ulaya. Kuna gari nimepata online London lakin malipo yake ni pay on collection. Je una ma agent reliable unawajua nilipe bila hofu ya kupigwa na taratibu za shipping.
Nipo hapa kweli ila sina uhakika ila kama utaniambia ni gari gani naweza kukuulizia na shipping pia

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom