Tofauti ya online store na buy and sell platform

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Wakuu Naomba kujua ya nilivyotaja hapa juu,

Namna ya kuanzisha moja wapo, gharama, utaratibu wa malipo na uendeshaji. Asante.

Kama nimekosea nirekebishe.

Asante.
 
Online store unauziwa pekee nawe wanunua pekee... kama vile Shoppers Plaza wawe na online store yao...

Buy and sell, unanuna na unaweza kuuza... kama vile Kupatana, Kikuu...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom