Tofauti ya neno Christmas na Xmas

elyza

Senior Member
Oct 9, 2016
155
326
Wakuu habari za jioni!

Nimeona nitoe ufanunuzi juu neno sahihi kati ya hayo tajwa kwenye kichwa cha Uzi huu.

Christmas ni muunganiko wa maneno mawili yaani Christ na neno la pili mass likiwa na maana ya kusanyiko la kristo.

Neno la pili xmass likiwa na maana ya kupiga uwepo wa Christmas, na neno hili hutumika na mpinga kristo kwa lengo la kupotosha wasio na ufahamu.

Unapoandika Xmas iwe kwa kujua au kutokujua ktk ulimwengu wa roho unakuwa umemsaidia kazi mpinga kristo.

Niombe kwa wale waliokuwa wanaandika Xmas pasipo kujua basi waache na badala yake waandike Christmas.

Xmass SIYO kifupi cha neno Christmas Bali ni kinyume cha Christmas.

Zaidi niwatakie wana jf wote sikukuu njema ya christmas.

Mbarikiwe sana!
 
Toa upu.mbavu wako hapa...

Mada kama hii tumeshaijadili hapa JF..

Mods ondoeni huu uchafu haraka
 
Toa upu.mbavu wako hapa...

Mada kama hii tumeshaijadili hapa JF..

Mods ondoeni huu uchafu haraka
Uzuri mods.hawajashikiwa akili nawewe,halafu mpumbavu ni yule anayetokwa na povu bila sababu. Bilashaka wewe ni mpingaji
 
Wakuu habari za jioni!

Nimeona nitoe ufanunuzi juu neno sahihi kati ya hayo tajwa kwenye kichwa cha Uzi huu.

Christmas ni muunganiko wa maneno mawili yaani Christ na neno la pili mass likiwa na maana ya kusanyiko la kristo.

Neno la pili xmass likiwa na maana ya kupiga uwepo wa Christmas, na neno hili hutumika na mpinga kristo kwa lengo la kupotosha wasio na ufahamu.

Unapoandika Xmas iwe kwa kujua au kutokujua ktk ulimwengu wa roho unakuwa umemsaidia kazi mpinga kristo.

Niombe kwa wale waliokuwa wanaandika Xmas pasipo kujua basi waache na badala yake waandike Christmas.

Xmass SIYO kifupi cha neno Christmas Bali ni kinyume cha Christmas.

Zaidi niwatakie wana jf wote sikukuu njema ya christmas.

Mbarikiwe sana!
Umeliandika kadhaa hilo neno...
Sijui ktk ulimwengu wa roho umejiweka wapi.

Christmas kiswahili chake ni noeli kwa wavivu basi watumie kiswahili.

X inamaana nyingi

Toa/Ondoa/remove/kosa/ngono aka matusi/ nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom