Tofauti ya namba za magari B, C , D

Sure. Sheria ipitishwe kukataza magari used
gharama za gari mpya watanzania wengi hawazimudu..

nikupe tu mfano toyora VITZ model of 2018 CIF yake ni 12000 USD ...Import Tax yake ni 16 tsh milioni

ukijumlisha unapata kama milion 40 kwa vitz tu ambayo hata mvua ikinyesha kuendesha ni mtihani

sasa sibora ununue harrier model of 2006 kwa 24 milion hyo 16 inayobaki ufanyie mambo mengine
 
Back
Top Bottom