Tofauti ya Mzungu na Mwafrika

proton pump

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
4,888
5,933
ac2cb47c4eee3f7722b0292a19ad8ea5.jpg

Nilikaa na mzungu mmoja ndani ya siku tatu
Nilichokigundua ni kwamba wazungu wamepewa uwezo mkubwa sana kufikiri na hawana ubaguzi kama wahindi na waarabu

Nilijaribu kumuuliza maswali mengi sana kuhusu teknolojia na kwa nn afrika tupo nyuma kimaendeleo japokua raslimali tunazo.

Kuna kitu kimoja kiliniumiza sana aliposema" AFRICANS ARE NOT COMPLITED MAN" na akaanza kufafanua kwa kutoa mifano

1.Mimi nilikua nakunywa maji ya kwenye chupa za plastick baada ya kuisha nikaitupa akaniambia huo ni uchafu unatakiwa uiweke kny dustbin irudishwe kiwandani.

2.Tunapoteza mda mwingi kwenye kuongea na kuchati badala ya kufanya kazi

3.Tunafurahia vitu vya kijinga mfano kupenda sana ngono na mambo ya umbea,yenye maana tunayachukia

4.Ni wavivu wa kufikiri tunatumia.
1℅ tu nyingine hazitumiki kwani

5.Tuna wivu sana hatupendi mwenzetu aendelee ,hata kama mungu angetupa teknolojia tusingesaidia wengine kama marekani anavyotoa msaada wa madawa vyakula japokua malighafi zimeibwa afrika.

Wenye ya kwao waongeze kwa nini waafrika tupo nyuma kimaendeleo ilihali raslimali tunazo za kutosha?@
 
Tofauti ya mzungu na mwaflika ni kuwa

Mzungu anamfanya mjinga mpaka anafaulu vyema lakini Mwafrika anamkandamiza mwerevu mpaka ahahakishe anafeli na kuwa mjinga.

Na ndio maana watu werevu kama Tundu Lisu wanakandamizwa mpaka wahakikishe wamefeli.
 
ac2cb47c4eee3f7722b0292a19ad8ea5.jpg

Nilikaa na mzungu mmoja ndani ya siku tatu
Nilichokigundua ni kwamba wazungu wamepewa uwezo mkubwa sana kufikiri na hawana ubaguzi kama wahindi na waarabu
Nilijaribu kumuuliza maswali mengi sana kuhusu teknolojia na kwa nn afrika tupo nyuma kimaendeleo japokua raslimali tunazo.
Kuna kitu kimoja kiliniumiza sana aliposema" AFRICANS ARE NOT COMPLITED MAN" na akaanza kufafanua kwa kutoa mifano

1.Mimi nilikua nakunywa maji ya kwenye chupa za plastick baada ya kuisha nikaitupa akaniambia huo ni uchafu unatakiwa uiweke kny dustbin irudishwe kiwandani.

2.Tunapoteza mda mwingi kwenye kuongea na kuchati badala ya kufanya kazi

3.Tunafurahia vitu vya kijinga mfano kupenda sana ngono na mambo ya umbea,yenye maana tunayachukia

4.Ni wavivu wa kufikiri tunatumia.
1℅ tu nyingine hazitumiki kwani

5.Tuna wivu sana hatupendi mwenzetu aendelee ,hata kama mungu angetupa teknolojia tusingesaidia wengine kama marekani anavyotoa msaada wa madawa vyakula japokua malighafi zimeibwa afrika.

*@[HASHTAG]#Wenye[/HASHTAG] yakwao waongeze kwa nn waafrika tupo nyuma kimaendeleo ilihali raslimali tunazo za kutosha?*@ #
Yupo sahihi kabisa huyo mzungu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom