Tofauti ya Mzungu na Mtanzania(Mtanganyika) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti ya Mzungu na Mtanzania(Mtanganyika)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmakonde, May 26, 2011.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mzungu hawezi kukubali raia wake wa kike walale sakafuni kujifungua
  Mzungu daktari hatakubali mgonjwa wake alale sakafuni(ethics)
  Mzungu hawezi kukubali ward iwe clouded namna hiyo.
  Mzungu hawezi kukubali mafisadi wa kutupwa EL,RA,Vijisenti,Mkono kuendelea kushiriki bungeni let alone kwenye chama chao.  Lakini sisi tunaona sawa tu na macho yetu.
  Manurse,doctors hawana ethics !
  Wabunge wetu wanachukua mashangingi,they dont care.Wapiga kura wetu ,hatujui kitu gani kibaya au kizuri.
  Utakuta hao wanawake ni wapiga kura wa chama cha magamba
  Mkuu wetu anaruka kila siku.
  Mawaziri kila siku wako ulaya ,with nothing to do.
  After ,Nyerere they is no man standing!
  Hiyo pics ni ya MUHIMBILI,just imagine huko umakondeni,ugogoni,uhani etc
   
 3. M

  MILKYWAY GALAXY JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Dec 12, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hili sii suala la uzungu, uafrika, uchaga, ukwere, ukristo, uzeruzeru nk.

  Ni tatizo letu kama "WATANZANIA"

  Ni janga la kitaifa.

  Tunaweza kuwa na maisha bora hata kuliko hao "wazungu"

  Ni maamuzi tuu ya dhati.

  Kwa kuanzia tupiganie "katiba ya watu"

  Na tuukiipata tuhakikishe tunaiheshimu, kuifuata na kuilidha kwa kila hali.

  Tusipoteze muda au kukubali kupotezewa muda na masula yasiyo na tija kwa taifa letu.

  Huu ndio wakati wa kupigania katiba mpya kuliko wakati mwingine wowote katika maisha yetu.
   
 4. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Turudishe Adhabu ya kifo kwa wanaohujumu uchumi.
  Tuachane na viongozi wastaarabu na wacheshi kama Kikwete na Nyerere.
  Time ya viongozi wakorofi kuliko kama Mkapa au Mara mbili yake.
  Tusipokamata chuma hamna maendeleo
  Tuombe Mungu atujalia kiongozi asiyecheka kama Kibaki au Kagame
   
 5. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ajabu na kweli, mzungu yupo tayari kuokoa raia wake mmoja kwa gharama kubwa
  Mtanzania yupo tayari kuua raia wake kwa sababu ya kutetea mzungu apore rasilimali zetu

  SHAME SHAME SHAME...(,,,<<<ON YOU ALL LEADER ESPECIALLY MZEE WA KAYA>>>,,,)
   
 6. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Umsahau kingpin Mhindi!
   
 7. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Siku nyingine compare variables au vitu vinavyoendana, sasa mzungu na mtanzania wapi na wapi? ungesema raia wa Uingereza na tanzania au uingereza na Tanzania!
   
 8. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mzungu hakubali raia wake adhalilishwe kwa hali yoyote ile na Yuko tayari kuvunja sheria zote zilizopo duniani kutetea hilo

  Mtanganyika huvumilia na kusamehe hata pale raia wake (ke) anapodhalilishwa kiasi cha kulazimishwa kulala na mbwa ili mradi aliyemdhalilisha ni mweupe.
   
 9. k

  katitu JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 213
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Inamaana siku zote ulikuwa hujui tofauti kati ya mzungu na mtanzania?Lakini nakusahihisha ni bora ungetumia lugha ya tofauti kati ya mzungu na mwafrika sababu kuna mzungu ambaye pia ni mtanzania.Try to formulate your topic clearly so that people do understand you.Pia tofauti ulizotoa ni chache ziko nyingi.Je hitimisho la topiki yako ni nini?
   
 10. Fasta fasta

  Fasta fasta JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Wazungu wamejijengea kuheshimu sheria kuliko urafiki.
  Wazungu wanapenda ukweli kuliko uongo.
  Wazungu wana majungu ya maendeleo sio ya kinafiki.
  Wazungu ni wawazi unapomkwaza hana kinyongo.
  Wazungu wanaheshimu na kuzingatia ujuzi au kazi ya mwenzie.
  Wazungu hawapendi mambo ya siri siri kwa taifa lao na ndio maana sheria zinatekelezeka na serikali yao inafuatilia kwa karibu kwa kutumia mapolisi wao sio kuuwa na kutafuta hongo. Mapolisi hawaruhusiwi kuongea kwa vificho. Mapolisi wanampaka wao kutokana na kasa zaidi ya hapo ni kujitetea mbele.
  Wazungu hawabaguani hata katika Taifa lao.
  Wazungu ni wepesi kutekeleza kwa serikali yao kwa sababu wanatekelezewa kama wanavyotaka.
  Sheria zao zinatekelezeka kwa sababu zanakwenda na muda walionao sio za kukopi Kenya na kuwaletea watanzania.
  Sheria zao za miji ndizo zenye nguvu kuliko hata za serikali kwa sababu ndio pale mwananchi anatakiwa kutekelaza yaliyopo nchini mwao.
  Meya ni kama rais wa sehemu husika kwa sababu hastahili kuwaficha wananchi wake yanayotendeka na yanayofanyika kila siku. Huyu meya anatokana na kura za wananchi wake sio wakuchaguliwa na madiwani.
   
 11. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wazungu karibu million 60 wa UK na almost milioni 80 wa Ujerumani kila mtu anachoo cha ndani wakati sisi wengi bado tunajisaidia vichakani,
  baada ya miaka 50 ya UHURU
   
Loading...