N nyamima JF-Expert Member Apr 19, 2016 211 73 Apr 28, 2016 #1 Je kuna tofaut ya mishahara serikalin kwenye nafas moja kwa ajil tu ya elimu zao?
Bigbootylover JF-Expert Member Oct 4, 2015 2,847 1,826 Apr 28, 2016 #2 Ndiyo, hamuwezi kulipwa sawa wakati elimu mnatofautiana