Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,862
- 5,679
Mkutano wa Lissu na Rais ulikuwa na ajenda za msingi zinazo ligusa taifa. Ajenda za Chadema ambazo pia ni za kitaifa zimetolewa na kujadiliwa pande zote mbili kwa hoja. Chadema wame litendea haki taifa kwa kuonesha ukomavu kisiasa na msimamo sahihi.
Seminar hupewa watu wasio na uelewa ili kujengewa uwezo ktk masuala mbali mbali. Chadema haikuwa sehemu ya Vyama vya siasa visivyo juwa majukumu yao ndio maana walikataa kuhudhuria semina hiyo ili kuviachia Vyama mbu mbumbu kushiriki.