Tofauti ya Matajiri wa Mikoa ya Kaskazini na Kusini mwa Tanzania

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
Tatizo vijana wa nyanda za Juu Kusini na baba zao utajiri wao ni wa kishirikina,yaani utajiri wa punje za mahindi kwa kumrushia kuku ndio umejaa sana Mikoa hiyo.

Kuanzia kwa Baba zao kina Mzalendo mpaka kina Nyagawa. Wamejaa mali za kishirikina tu, mambo gani mtu una pesa mabilioni halafu unashindia maandazi na mikate ya kikinga ya kwenye ganda la mgomba huku unashushia na juice cola, pakiti moja unatengeneza juice ndoo ya lita kumi.

Huu utajiri wa kununua kwa Mwandulami na kwa Mwakipande huu hauna maana, unakuta kijana ana hela kibao lkn analala kwenye ngozi, masharti ya kuoga Ijumaa tu saa sita usiku tena maji ndoo ya lita kumi. Vijana wana pesa lkn wanaishi maisha ya kingese sana,hakuna cha bata wala nini.

Utajiri upo kaskazini, kwanza wa kijanja...Kijana mdogo unakuta ana mkoko wa hatari, nyumba ya maana na maisha yanakwenda, lakini vijana wa kusini ana pesa kibao ila masharti ni kupanda fusso kila anaposafiri kufunga mzigo Dsm, unakuta kijana kuja Dsm Fastjet anaiogopa, yeye ni kuvizia fuso zinazoleta viazi vya chips Dsm anajifundika nyuma kama gunia la kiazi, njiani baridi na mvua ni vyake.

Wakati wa kurudi utamkuta Kimara-Rombo anasubiria Fuso zilizoleta nyanya za Ilula na Kiazi cha Njombe ndio arudi nazo, hata IT za kwenda Zambia hataki maana zina kiyoyozi na mganga alishamkataza kupanda gari zuri, mkononi ana kilambo cha maandazi na kopo la maji ya uhai kanywa maji kamaliza kajaza juice za Sayona, sasa huu ndio utajiri au mateso??***** sitaki kabisa huu utajiri, mtu unakaa week bila kuchamba kisa mganga kakupa masharti ya kugusa maji Ijumaa tu katika wiki nzima.

Watoto wa Kusini utajiri wao ni wa masharti sana, ndio maana kuna kipindi wakaanza kuchuna mpaka ngozi. Wakinga ndio wamejaa na utajiri wa aina hii huko Kusini, walivamia soko la Mwanjelwa na sasa wapo K'koo.

Hata akienda shule bado Mkinga utajiri wake ni ule ule tu, kidogo siku hizi wanashindana kusomesha watoto China na Malaysia...Wameanzisha umoja wao na SACCOS yao bado kidogo wafungue Bank, yaani hiyo Bank itakuwa imejaa hela za "chuma ulete" tu.

Ukishusha huko Kusini ya Tunduma ndio unakutana sasa na hao Wanyiha, Wandali na jamaa wanaitwa Wanyamwanga. Hawa Wanyamwanga ndio wenye ushirikina wa Zambia hawa, wana mganga wao yupo katikati ya Zambia na Tanzania eneo linaitwa "No man's Land" kwenye Jimbo la Silinde, hapo kuna mganga wa hatarii, anawapa utajili vijana lakini ukikutana nao utasema ni wakulima wa tumbaku wa Chunya.

Ndio maana kuna tofauti sana kati ya utajiri wa Kusini na ule wa Kaskazani. Ukimuona huyo Mzalendo na ukimuona jamaa wa Panone ni vitu viwili tofauti, japo kiukweli Mzalendo yupo vizuri zaidi ya jamaa wa Panone, yaani niliwahi kukaa mikoa ya kusini nikifanya kazi na Shirika moja la kigeni katika utafiti fulani ndio nikajifunza.

Watoto wa Kaskazini kwanza wanajua kuitumia pesa mpaka inawazoea, bata kiasi na kazi kwa sana. Wanajuwa kuvaa na kujipendelea. Wanapenda kusafiri ili kupata exposure na kujifunza, yaani Kaskazini kwenda KIA na kuchukua Ndege hadi Instanbul kwenda kutembea ni kawaida, lakini kusini vijana utajiri wa masharti hata gari wanazuiwa kununua

Maisha ya Dr Mengi,makazi yake na namna alivyoishi na pesa zake,imethibitisha aina hii ya utajiri kati ya watu wa Kaskazini na Kusini
 
Post ina ukweli kwa asilimia kubwa. Matajiri wa kusini wanaishi maisha ya dhiki sana mpaka hua najiuliza hela wanaitafuta ya nini sasa? Maana kutafuta pesa na kuipata kifwatacho ni matumizi, kujifurahisha nafsi na kuwekeza. Hao jamaa wa kusini hopeless kabisa.
Mkuu saragossa utajiri wa Kusini hauna maana kabisaa,yaani hauna tofauti na mtu masikini tu asiye na pesa,maana tajiri anakuwa na maisha ya kitumwa kupitiliza
 
Uko sahihi lakini wapo ambao wamebadilika maana naona wanatumia mavx v8 ila kweli wapo wengine hawana maana kabisa ni ujinga na ushenzi hata mimi ni Mkinga ila nawaona hawana maana eti. unakuwa na pesa halafu huzitumii atumie nani? sidhani kama ni ushirikina nadhani ni mtazamo wa kijinga tu.
Ni kweli mkuu maswitule ndio maana nikasema kidogo wengine wamebadilika na kuanza kusomesha watoto nje ya nchi
 
endeleeni kujigamba... magu anakula sahani moja na nyie wakwepa kodi wa kichaga. safari hii mtakamulia hadi tone la mwisho. miaka kumi ya magu itakua kama mia
Aliyepewa kapewa tu mkuu Fanya kazi kwa bidii lazima utoke kwanza majority yao wako hata nje ya nchi kutumbua won't change anything. Some people are gifted no matter what obstacles may come on their way they normally overcome. Hard work pays a lot meeen
 
na utajiri wa watu wa kanda ya ziwa je??

kina Gachuma, Kitana, Samwel Nyalla, VickFish
 
Uwiii nimecheka mpaka nimeamsha mtoto, eti juice cola inajaza ndoo lita kumi jamani watu mna maneno, na hapo utakuta ndio christmass na mwaka mpya?! Huu si utajiri bora umaskini aisee.
Ndio ukweli wenyewe huo lkn
 
Back
Top Bottom