Tofauti ya Marais wa Tatu ktk washughulikia watesi wao

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Mh Mkapa alikuwa akikujuwa unamzunguka anakuweka karibu then unapotea wakati ulila asali..

Mh Kikwete alikuwa anakuwa karibu na wewe mnakunywa chai ukizidi anakutumia watu na mwisho unapotezwa taratibu kiasi huwezi juwa nani amekupoteza mpaka uje juwa muda umepita.

Mh Magufuli hakufichi anakupa live anakuanika na mwisho unapotea kwa uchungu mkubwa sana kiufupi ktk hili mpaka yule msie mdhania yupo... Ila hakuna ambaye hatolia why wanaviapo na viapo vyao nivya kifo.... Tafakari
 
Ina maana hapo unamzungumzia mheshimiwa.........
Ngoja nikae kimya
 
Mh Mkapa alikuwa akikujuwa unamzunguka anakuweka karibu then unapotea wakati ulila asali..

Mh Kikwete alikuwa anakuwa karibu na wewe mnakunywa chai ukizidi anakutumia watu na mwisho unapotezwa taratibu kiasi huwezi juwa nani amekupoteza mpaka uje juwa muda umepita.

Mh Magufuli hakufichi anakupa live anakuanika na mwisho unapotea kwa uchungu mkubwa sana kiufupi ktk hili mpaka yule msie mdhania yupo... Ila hakuna ambaye hatolia why wanaviapo na viapo vyao nivya kifo.... Tafakari
Vipi mkuu umeacha utapeli wa kujiita usalama wa taifa
 
Mbinu za kishamba na kilimbukeni ,mpaka wenzie kwenye chama cha kijani wamekiri kuwa jamaa ni mshamba .
 
Back
Top Bottom